Nguvu ya kukemea

Kuna kipindi niliota ndoto ya ajab saana zimeishapita kama miezi kadhaa lakini ndoto ile naikumbuka mubashara...nilichukuliwa sijui na nani nikapelekwa sehemu kuna majitu ya ajabu saaana yanatisha saana lakini aliekua amenipeleka alikuwa ananipa uwezo wa kupaa na kujificha huku nikishuhudia binadam zam kwa zamu wakitendwa mambo ya kutisha [emoji22] [emoji22] [emoji29] ...lakini ndoto haikufika mwisho, nikastuka natetemeka balaa, niliamka nikasali nikaishiwa woga huwezi amini na nikalala kwa amani bila ndoto tata!
Nachotaka kusema, sala/dua/maombi huwa ni faraja toshaa kipindi mwanadamu au mashetani yanapoipa nyoyo wasiwasi wa nafsi.
 
Hizo ni imani mila na desturi tuu, kuna mataifa huwakalisha ama kuwasimamisha.. Wengine huwapa wanyama wale na wengine huchoma moto
[emoji15][emoji15][emoji15]Mmhh marehem anaweza kukaa au kusimama kwenye kabur?
 
Kuna siku utaokoka wewe na utaanza kucharaza injili vibaya sana
Bwana yesu asifiwee
 
[emoji15][emoji15][emoji15]Mmhh marehem anaweza kukaa au kusimama kwenye kabur?
Hapana hana uwezo huo bali hukalishwa ama kusimamishwa, zamani wafalme wengi walizikwa hivyo
 
Mkuu umenena kweli
Unajua unakuwaga na nyuz matata sana ndo maana ciachag kusoma post zako asee

Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kusema, jina kuu lipitalo majina yote. Jina LA YESU KRISTO ambalo mapepo na vinyamkela wanaliogopa. Amen
Tumefundishwa kuwa werevu kama nyoka... Ningeandika hivyo mada ingetupwa jukwaa la dini.... Kuna mada moja niliandika heading ULIMWENGU UNAENDESHWA NA ROHO MTAKATIFU... na mwanzo tu mwa mada nikaelezea ROHO MTAKATIFU kwa muktadha gani... Mada haikuwa ya kidini lakini imetupwa huko ambako wengi hawana access
 
Najindaa kusali hapa
 
Amen

Umesahau Waziri Mkuu kipenzi ya Watanzania mbuge wa Monduli aliyeheshimika kuliko mawaziri wakuu wote waliopata kutokea nchini ndugu Edward Moringe Sokoine RIP my beloved PM
 
Amen
 
Amen

Umesahau Waziri Mkuu kipenzi ya Watanzania mbuge wa Monduli aliyeheshimika kuliko mawaziri wakuu wote waliopata kutokea nchini ndugu Edward Moringe Sokoine RIP my beloved PM
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…