Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,299
Ngoja nigeuke..... Halafu upost nitakachokufanya
hahahahahahaha i love jf... Usiponuna lazima ucheke tuu
Ngoja nigeuke..... Halafu upost nitakachokufanya
Nimekwisha teremka Kama nimekosea nisamehewe pia wana jamii. Maana katika jamii wawezafanya jambo kwa mtazamo chanya kumbe unaharibu.Naomba radhi
Mi nasahau hata kulaaa utafikir nimerogwaa
Kwenye foleni kuelekea Buguruni Mdau anapata habari kupitia JF nimeipenda hii
Nilikua mimi huo mda,si daladala ya Ubungo mnazi Mmoja?
Sasa shughuli za ujenzi wa taifa unazifanya saa ngapi?
Tatizo simu zetu chaj inazengua..tunatembea na "charger bank" mfukoni.