Nguvu ya HIV yaizidi nguvu ya control ya mwanadamu!!!!

Nguvu ya HIV yaizidi nguvu ya control ya mwanadamu!!!!

THECHANCE

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
301
Reaction score
121
Kwa jinsi fulufulu za kimapenzi yanavyoendelea humu JF na nje ya JF nahisi sasa hv nguvu ya ukimwi imeizidi nguvu ya control ya nafsi ya mwanadamu, wanaume kwa wanawake wala hawana habari juu ya HIV naona km vile ingekuwa hakuna HIV mambo yangekuwa pengine balaa zaidi ya yalivyo hv sasa!!!!!!!!

Tembea usiku maeneo ya jiji kubwa la dsm mfano kimboka bynight maeneo ya buguruni, ohio maeneo ya posta, ambiance maeneo ya sinza na mengine mengi.............uwiiiiiiiiiii nadhani hakuna HIV hapa dsm, nadhani sasa hv ipo kijijini tu, haiwezi kuja mji mkubwa km dsm!!!!!

Wale kidogo wanaojali wanateleza na mndoco tu hawana ujanja mwingine!!!!!!!

Halafu watoto wenyewe wa siku hz ni wakali balaa.......sio mwanafunzi, sio beki 3, si nani, kila demu ni mkali kinoma ila mileage yake sasa....usiombe!!!

Copy: mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Ile stretch ya kuanzia Bamaga hadi Mori ni balaa. Kuna baa si chini ya 10 na jua likishachwea tu panageuka kuwa red-light district.

Hapo sasa............na wanafanya hivyo kwa sababu kuna wateja wa kutosha!!!
 
ah utamu jamani acheni tuu iwe hivi maana kungekuwa hamna ukimwi mie ninheanzisha sex bash...hapo fulll kugegedana.....speaking of which nataka host sex party/threesome party......kidume atakaye weza kuja na mademu wawili atapata mzinga wa vodka
 
Ile stretch ya kuanzia Bamaga hadi Mori ni balaa. Kuna baa si chini ya 10 na jua likishachwea tu panageuka kuwa red-light district.
Nyumba yao wanayojificha mchana ipo pale kwenye baa ya Mori opposite na kituo kipya cha mafuta (Kobil)njia ya kuelekea Meeda pub.

Fanya siku moja kama unaingia pale kula chakula, pana jiko zuri sana pale. Halafu fanya kama unazunguka nyuma baa hiyo hiyo kutafuta chumba cha kupumzikia utakuta kuna vyumba vya uani utaona wapo ndani kila chumba mlango upo wazi kabisa, wewe ni kuzama ndani na kupata huduma tu.
 
Kumbe wako wengi sana usiku wakila aina, lakini mkikosea tu mkaingia M/nyamala mkasikia ndugu zangu wanaongea kilugha mtasema mpaka baasiiii!
 
Huu uzi sidhani kama utapata wachangiaji wengi (pamoja na kwamba ni uzi mzuri sana), sababu watu hawataki kabisa kuliongelea swala la Ukimwi. Nimegundua hata ninapokuwa na familia na marafiki, ukianzisha hii topic, hamna mwenye interest nayo. sijui watu tumejikatia tamaa?
 
hii topic nzuri sana kuzungumza ma-partner, siyo na ndugu jamaa na marafiki.....
ni muhimu wenyewe mnapokuwa kwenye maongezi yenu, hasa kwenye kutaniana mkaliongelea swala hili. siyo kwa vitisho bali kuambiana ukweli......
nyie wawili ndo mnapaswa kujilinda na kulindana.
kwa sasa sidhani kama kuna ukoo ambao haujawahi kuwa na wagonjwa wa hiv
wakati bado nipo kwa wazazi tulikuwa na hao wagonjwa wawili na tulifundishwa jinsi ya kuishi nao na kuwajali kama kawaida, lakini chumbani mama hakuacha kutuhubiria kujikinga dhidi ya maambukizi.
Unajua kwa nini watu wanaonekana kama wamekata tamaa? watu wengi siku hizi hawataki kuamini wenzao, kila mtu anapokaa anahisi kama mwenzake anamcheat.... ndo maana kuna nyuzi kama https://www.jamiiforums.com/mahusia...amke-mzuri-kama-malaika-nje-lazima-utoke.html
watu hawaamini kama wenzi wao wanaweza kuishi bila kucheat, kwa hiyo na wao wanaamua kucheat, ili ngoma iwe droo.
Kujiaminisha hivyo ni ujinga, kwa nini usiamini kuwa huyo uliyenaye anaweza kuwa mwaminifu? kwani walio waaminifu wana nini?
 
hii topic nzuri sana kuzungumza ma-partner, siyo na ndugu jamaa na marafiki.....
ni muhimu wenyewe mnapokuwa kwenye maongezi yenu, hasa kwenye kutaniana mkaliongelea swala hili. siyo kwa vitisho bali kuambiana ukweli......
nyie wawili ndo mnapaswa kujilinda na kulindana.
kwa sasa sidhani kama kuna ukoo ambao haujawahi kuwa na wagonjwa wa hiv
wakati bado nipo kwa wazazi tulikuwa na hao wagonjwa wawili na tulifundishwa jinsi ya kuishi nao na kuwajali kama kawaida, lakini chumbani mama hakuacha kutuhubiria kujikinga dhidi ya maambukizi.
Unajua kwa nini watu wanaonekana kama wamekata tamaa? watu wengi siku hizi hawataki kuamini wenzao, kila mtu anapokaa anahisi kama mwenzake anamcheat.... ndo maana kuna nyuzi kama https://www.jamiiforums.com/mahusia...amke-mzuri-kama-malaika-nje-lazima-utoke.html
watu hawaamini kama wenzi wao wanaweza kuishi bila kucheat, kwa hiyo na wao wanaamua kucheat, ili ngoma iwe droo.
Kujiaminisha hivyo ni ujinga, kwa nini usiamini kuwa huyo uliyenaye anaweza kuwa mwaminifu?
kwani walio waaminifu wana nini?

in other words, kwa nini mtu usitimize wajibu wako kwa mwenzako bila kujali yeye anafanya nini? Na kama humuamini mwenzako na unaona anahatarisha maisha yako, solution sio kulipiza kisasi bali ni kujitenga nae. Kwa nini ukubali mtu aku drive kufanya mambo ambayo vinginevyo usingeyafanya. Kaa chini ujiulize (hii ni kwa wote wanaofuatilia uzi huu)

Kuhusu Kuongelea UKIMWI, mimi huwa naamini katika kuongelea tatizo lililopo badala ya kulikimbia. Yes mwenza wangu naongea naye but nafikiri pia nina responsibility ya kuelimisha watu walionizunguka.
 
We bwana kwa vyovyote lazima na wewe utakuwa fundi tu wa haya masuala,usiku wa manane ulifata nini huko kimboka???
 
dah huu uzi unanikumbusha mbali sana wakati nina miaka 16 kuna bonge la mama alitaka nitembee nae wakati huo mimi ilikua sijui chochote kuhusu demu ila ilikua ni muuzaji duka yule mama akataka anifilisi kwa iyo aliona bora kwanza anionjeshe k basi bwana alinionjesha k yake na yeye ndio mwanamke wangu wa kwanza kwake kama mwanamme ana bikra naweza kusema bikra aliikata yeye sasa niliporudi home nikamuhadithia broo wangu akaanza kunitisha akasema yule dem ana ukimwi doohh!!
nikaanza kujikondea kwa kufikiri ikafikia hadi familia yangu yote ikajua kwamba nimetembea na dem na sasa sina ninachikifanya eti nina wasiwasi kua dem ana ukimwi ikabidi familia wakanipeleka hospital kwenda kupima ikaonekana kua hamna lolote ila sikuamini baada ya siku chache nilienda kituo chengine kwenda kupima damu mimi mwenyewe dokta akanambia kijana huna lolote ila kua makini sana usifanye hayo mambo si mazuri ilikua ni mwaka 1998.
samahanini wana jf hii pengine si pahala pake kuielezea ila hii mada imenikumbusha wakuu
 
Ee mola tunusuru maana kitu imekamata pale mahali patamu kila mtu anapahemea.
 
Back
Top Bottom