Nguvu ya ajabu ya akili

Kuna Uzi wa siku nyingi humu wa Pascal, utafute utawakuta wenzio kule...

Aiseeeh, haya, mkuu nitajitahidi
 
mi inanitokeaga sana ila ninachojiuliza kwenye kugegeda mbona sionagi tukio ambalo linajirudia... au pale kuna nguvu nyingine ya ajabu...!!!
 
mi inanitokeaga sana ila ninachojiuliza kwenye kugegeda mbona sionagi tukio ambalo linajirudia... au pale kuna nguvu nyingine ya ajabu...!!!

Aiseeeh,
Kweli wewe ni "The End"

Hakika, umeakisi jina lako.
 
mapepo hayo
hapana mkuu sio mapepo ,ni vitu ambavyo vipo coz hata science inakir kwamba human DNA can be reprogrammed by words and frequency so,pia unaweza ukapona magonjwa kwa maneno tu yalichanganywa na imani na persistence, na hiyo ndio siri inayofichwa na watumishi wengi sana wanaojiita wametumwa na mungu,waganga na wasoma vitabu,wanachokifanya ni kuhakikisha unakuwa katika hypnotic state,hii state itafanya akili yak iwe katka hali ya receptivity ambayo dna inaweza ikiwa programmed na ndo utasikia mganga fulani ni kiboko,wakat huyu huyu mtoa mapepo na mponyaji ndio bingwa wa mambo ya ajabu ya kishenzi
 
I'm also looking for a spiritual path. I'm waiting for someone to take me to a Buddhist temple. I believe in the power of the mind.
Nenda barabara ya kisutu kuna temple inaanza saa 11 asubuhi!
 
Kuzitumia kivipi
kuzitumia kadiri ya lengo la alituumba,kwa mfano unaweza tumia km tahadhar dhid ya kitu coz hii kitu ina mchezo wa kukupa warning,lakini pia kujiponya magonjwa, kuwa mwenye furaha, na kutumia hata kwenye masomo km bado unasoma
Mfano, wapo wanafunzi weng wanasoma soma lakin akiingia exam room hakumbuk chochote, sio kwel kwamba alichokisoma hakipo akilini isipokuwa bad hajaelewa vp akili yak inafanya kaz
 
Hiyo ni siri nzito, ni ya kiroho!
Mm nikiwa nasafiri, ninakoenda sipajui, ila jina nalifahamu, njian wakat navuta picha sehemu niendako, nikfka inakuwa kama napafahamu, nabaadhi ya maeneo inakuwa hivyohvyo kama vile niliota au sio ndoto ni kweli napafahamu!
Sasa mm mtaniita nani??
 
Hiyo Hali Ni Ya Kawaida Sana Na Hutokea Wengi Ila Hawasemi. Mi Hunitokea Pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…