Nguvu ya ajabu ya akili

Mim huwa inanitokea pia na mengine yanayofanana na hayo bt how can I use it for benefits
 
Hiyo ni siri nzito, ni ya kiroho!
Mm nikiwa nasafiri, ninakoenda sipajui, ila jina nalifahamu, njian wakat navuta picha sehemu niendako, nikfka inakuwa kama napafahamu, nabaadhi ya maeneo inakuwa hivyohvyo kama vile niliota au sio ndoto ni kweli napafahamu!
Sasa mm mtaniita nani??
Mbona iyo kawaida tu asa tukisema yetu jeee
 
Kuna mda uwa nikifanya tendo furani naanza kulikumbuka naona kama nilishalifanya kama limejirudia vile akin sehem nayokuwepo inakuwa ndo mara y kwnza kufika au watu ninao ongea nao ndo mara y kwanza nongea nao kwann nakumbuka kama matendo haya nilishayafanya zamn

Msaada wajuz
 
Juzi wakati nipo katika gari (daladala) nimekaa siti ya mbele kabisa pembeni ya dereva, mara ghafla nikaona barabara mpya ya lami maeneo hayo tunayopita, sasa kutokana na ugeni wangu hapo nilitamani kumuuliza dereva kuhusu njia hiyo mpya. Lakini nilishindwa kumuuliza kwasababu dereva yule alionekana kama mtu mwenye mahasira sana hivyo nikabaki kimya tu huku nikitafakari uzuri wa barabara hiyo. Kitu cha ajabu sasa, mara ghafla dereva akaanza kujiongelesha mwenyewe " barabara hii bwana imejengwa faster sana duuu, au kwa sababu inaenda kwenye makazi ya Mzee pinda nini?
 
Mimi huwa inanitokea mara moja moja sana lakin hii nitofauti,nikiwa barabarani natembea huku kuna kitu nawaza au kujiuliza mara anapita mtu kavaa tishet imeandikwa sawa na hicho nnachofikiria au daladala yani kama vinatoa majibu ila hii imetokea kama mara 3 tu.
 
Juzi wakati nipo katika gari (daladala) nimekaa siti ya mbele kabisa pembeni ya dereva, mara ghafla nikaona barabara mpya ya lami maeneo hayo tunayopita, sasa kutokana na ugeni wangu hapo nilitamani kumuuliza dereva kuhusu njia hiyo mpya. Lakini nilishindwa kumuuliza kwasababu dereva yule alionekana kama mtu mwenye mahasira sana hivyo nikabaki kimya tu huku nikitafakari uzuri wa barabara hiyo. Kitu cha ajabu sasa, mara ghafla dereva akaanza kujiongelesha mwenyewe " barabara hii bwana imejengwa faster sana duuu, au kwa sababu inaenda kwenye makazi ya Mzee pinda nini?
itakua inaenda mkuu ndo mana ikajengwa faster, au wewe ulihisije 😃
 
mkuu nakushaur nenda meditation centre walau ata mara moja, utaelewa umuhimu wak coz sometimes inakuwa inakupa tahadhar juu ya kitu pasipo wewe kujua
Kwanin hujaamua kutusaidia jins Ya kuifanya meditation yake, wengine tupo mbali sana na hao buhda
 
Hiyo ni siri nzito, ni ya kiroho!
Mm nikiwa nasafiri, ninakoenda sipajui, ila jina nalifahamu, njian wakat navuta picha sehemu niendako, nikfka inakuwa kama napafahamu, nabaadhi ya maeneo inakuwa hivyohvyo kama vile niliota au sio ndoto ni kweli napafahamu!
Sasa mm mtaniita nani??

Tunakuita mindpower
 
hata mimi huwa inanitokea mara kadhaa, unafika sehemu unajua kabisa ulishafika sehemu hiyo before lakini hukumbuki....sababu physically hujawahi kufika ila unakumbuka tukio hilo...

Yawezekana nafsi yako huena ikawa imeshaishi hapa duniani before...
 
The prove of existence of soul déjà vu in (France ) or already seen more training this is the clairvoyance ability now you see after but you need to see before the event

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom