Nguvu nyingi bila akili

Nguvu nyingi bila akili

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
601
Reaction score
2,508
Nguvu nyingi kupitiliza bila akili.

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime, Bwana Glorious Luoga mwaka 2017 aliwahi kumkamata mbunge wa Bunda mjini, Esther Bulaya kwa kushiriki harambee ya kuchangia mabati kujenga shule Tarime vijijini.

Leo DC wa Hai, usalama wa taifa Feki, bwana Lengai Ole Sabaya anatoa amri mbunge Lucy Owenya akamatwe kwa kosa la kutembelea ujenzi wa darasa alilojitolea kujenga kwa fedha zake huko Hai..

Huu ni ushamba uliotamalaki.. Mkuu wa nchi anasema maendeleo hayana chama, Halafu wateule wake wanakamata watu wakijitolea kuchangia miradi ya maendeleo kisa, sio kutoka CCM?
 
like father like son; hata mkuu mwenyewe hajawahi kuuishi msemo wake huo "maendeleo hayana chama"!! hata hivyo kujipendekeza kwa Gloria Luoga hakukuzuia yeye kutumbuliwa!
 
Katika utawala huu ili upate credit inabidi uwe na matendo ya kikatili! hii ni kwa sababu kiongozi wao mkuu ni mkatili kwa hiyo wanataka kumfurahisha kiongozi mkuu, so like father like son. Najua sijapaka mafuta maneno yangu kwa kuwa ndo ukweli. Ukiangalia matendo ya Ndugai ya kumfutia mtu ubunge wake huku akijua yuko kwenye matibabu hakuna namna nyingine ya kuyaita zaidi ya ukatili, lkn kwa bahati mbaya haya matendo ya kikatili na kukosa busara ndo yanamfurahisha mkuu. So sad.
 
Hii la kuwakamata viongozi wa CHADEMA kwa "kosa" la kutembelea shule na kupiga picha litakuwa limemfanyanyile "sadist" ashangalie sana.
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Siku ya uchaguzi usishangae wapinzani kukatazwa kuingia kwenye vyumba vya kupiga kura, wakapige kura...

Reason utasikia tumehisi viashairia vya uvunjani amani wapinzani wakija kupiga kura...

Cc: mahondaw
 
Watumishi wengi wa awamu hii hasa waliokuwa straightly appointed na mkuu mwenyewe, wanafanya kazi wakiongozwa na mihemko na wala sio waledi.

Na wanafanya hivyo lengo au kipaumbele chao kwanza ni kumfurahisha mkuu aliyewatua haijalishi hata kama wanasababisha damage wao ilimradi mkuu ameridhika kwanza. Inasikitisha kwakweli
 
Haya yote yana mwisho,na mwisho wake utakuwa mbaya sana,kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe,wala mfurahishwa hatokuwepo kuwasaidia,that's the good news!
 
jamaa amesha fahamu mkuu anapenda atokee yeye tu fend fodi ivyo wanafanya jitihada zote kuzuia wapinzani wasionekane
 
WATASHINDANA SANA, LAKINI HAWATASHINDA.

MUNGU YU PAMOJA NA HAKI / UKWELI.

IFIKE MAHALI IKULU IKEMEE MAMBO HAYO HATA KAMA HAIMAANISHI.

MAENDELEO HAYANA VYAMA.
 
Bila haki hakuna amani viongozi was awamu hii wanapenda kiki na sifa na utukufu kama alivyo mkulu
Nguvu nyingi kupitiliza bila akili.

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime, Bwana Glorious Luoga mwaka 2017 aliwahi kumkamata mbunge wa Bunda mjini, Esther Bulaya kwa kushiriki harambee ya kuchangia mabati kujenga shule Tarime vijijini.

Leo DC wa Hai, usalama wa taifa Feki, bwana Lengai Ole Sabaya anatoa amri mbunge Lucy Owenya akamatwe kwa kosa la kutembelea ujenzi wa darasa alilojitolea kujenga kwa fedha zake huko Hai..

Huu ni ushamba uliotamalaki.. Mkuu wa nchi anasema maendeleo hayana chama, Halafu wateule wake wanakamata watu wakijitolea kuchangia miradi ya maendeleo kisa, sio kutoka CCM?
 
Nguvu nyingi kupitiliza bila akili.

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tarime, Bwana Glorious Luoga mwaka 2017 aliwahi kumkamata mbunge wa Bunda mjini, Esther Bulaya kwa kushiriki harambee ya kuchangia mabati kujenga shule Tarime vijijini.

Leo DC wa Hai, usalama wa taifa Feki, bwana Lengai Ole Sabaya anatoa amri mbunge Lucy Owenya akamatwe kwa kosa la kutembelea ujenzi wa darasa alilojitolea kujenga kwa fedha zake huko Hai..

Huu ni ushamba uliotamalaki.. Mkuu wa nchi anasema maendeleo hayana chama, Halafu wateule wake wanakamata watu wakijitolea kuchangia miradi ya maendeleo kisa, sio kutoka CCM?
Mkuu ana mambo ya hovyo sana hivyo anateua watu anaofanana nao, wewe unafikiri atateua watu wa Aina gani? Aina yake.
 
Back
Top Bottom