Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,413
Hamjambo!

1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi.

2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe.

3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu kubwa. Popote pale.

4. Katika muktadha WA kisiasa. Vyama vya siasa vinapambana kila Siku kuwania Dola. Kushika mamlaka ya nchi.

5. Ili Chama au mtu ashike Dola lazima awe na nguvu kubwa kuliko vyama vingine.

6. Mbugani, kanuni za mwituni ni Simba mwenye nguvu ndiye hutawala. Na ili Simba mwingine aingie to the power lazima amuangushe Simba mtawala. Amzidi nguvu.

7. Kwenye siasa kuna nguvu za aina kuu tatu;
a) Nguvu za Pesa
b) Nguvu za Ushawishi.
c) Nguvu za kiroho.

8. Nguvu a na b zinategemea Nguvu C. Yaani nguvu za kiroho ni constant ili ushike power.

9. Ukishakuwa na pesa au ukaungwa mkono na wenye pesa yaani matajiri iwe kwa hiyari yao au ukatumia mabavu kuwalazimishsa wakuunge mkono basi kushika dola ni uhakika.

10. Ukidhadhibiti wenye pesa yaani matajiri kinachofuata ni kutafuta nguvu ya ushawishi. Hapa hata kama hauna ushawishi unaweza kutumia ushawishi wa watu wengine kama ilivyo kwa biashara zingine. Mfano sio lazima uwe Mfamasia ili umiliki au ufanye biashara ya famasi.

11. Hivyo unachukua watu wenye ushawishi wawe upande wako. Kuna ushawishi wa mambo mengi lakini ushawishi wenye nguvu upo katika Imani(dini) na mambo ya burudani na Sanaa.

12. Kutumia nguvu kwenye Dola au kuongoza Dola sio njia Bora kwa wakati wote. Ila ni muhimu kwa makundi Fulani ya watu ili kulinda Dola. Wanasiasa na watawala mara zote falsafa zao zimejengwa kwenye mambo hayo mawili Utajiri na ushawishi.

13. Unapompinga mtawala Jambo la Kwanza kwenye akili yake lazima aon kuna mtu kakutuma yaani kakushawishi na mtu huyo ni maarufu Mwenye ushawishi.

14. Au umepewa pesa na tajiri Fulani iii umpinge. Hivyo ndivyo saikolojia ya watawala na wanasiasa walivyo.

15. Mwanasiasa hawezi kukuamini hata kidogo unapomwambia unamkosoa au kumpinga kwa matendo yake na haujatumwa wala kulipwa. Hawaaminigi kitu kama hicho.

17. Siasa ni mchezo wa maslahi. Mwanasiasa kama wewe sio mwanasiasa mwenzake haoni anagusaje maslahi yako. Hata ukimuelewesha vipi haoni. Zaidi atakuona unafuata mkumbo, au umelipwa au unamfanyia makusudi kumhujumu.

18. Tukirudi kwenye hoja ya nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo.

19. Mtu anayekushinda ushawishi mfano hata humu JF au mtandaoni na wewe hakuna anayekujua ni ngumu kumshinda. Mfano Mimi Mtibeli na Mshana Jr Ni ngumu kwangu kumshinda Mshana kwani nguvu Yangu ya ushawishi dhidi yake ni ndogo.

20. Kuitoa CCM au kuangusha Dola ya CCM sio Jambo rahisi kama wengi hasa Gen Z wanavyofikiria.

21. Unazungumzia Dola. Yaani serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama.

22. Unahitaji nguvu kubwa zaidi kuishinda Dola. Sio tuu ya CCM Bali Dola you're.

23. Wanasema Kirikuu haiwezi kusukuma au kuvuta Lori

24. Kuna mtu anasema labda nakatisha watu Fulani tamaa. Nope nazungumzia ukweli. Ukweli utakaosaidia kwa sehemu.

25. Unafikiria kumng'oa Rais, ambaye Neno lake moja majeshi wanafuata without fear without care. Lazima ujiulize mara tatutatu Nina nguvu za kutosha au angalau zinazolingana kumtoa Rais madarakani?

26. Hilo swali ni muhimu Sana. Kabla ya kurisk kuingia mzigoni.

27. Je unaongozwa na uhalisia au matamanio? Hilo pia ni swali muhimu pia.

28. Kuongozwa na uhalisia kuangalia nguvu ulizonazo. Je unatoshana?
Unanguvu za kutosha za ushawishu kwa watu?
Mambo ya kutazama;
a) Nguvu ya kutosha kiushawishi.
Je watu nikisema watoke watatoka. Je wakitoka watafanya nini? Je wataweza kukabiliana na upande wa pili kwa mapigano yoyote?

b) Nguvu ya Pesa.
Je mnapoingia ulingoni pesa za mapambano zipo. Chakula, madawa, n.k.
Usipokuwa na nguvu ya pesa ni rahisi kushindwa mapema Sana. Au kusalitiana na kurushiana lawama ndani ya timu yenu.

c) Stamina.
Huwezi kuitoa Dola kama hauna stamina.
Stamani inatokana na Nguvu ya pesa, ushawishi na mbinu za kimedani wakati wa mapambano.

Huwezi fikiria utatumia Siku mbili au tatu au Saba kuitoa serikali madarakani. Huko ni kujidanganya.

30. Siasa na utawala sio maeneo Rafiki Sana ukitumia na kuleta MIHEMKO.
Ukileta mihemko ni rahisi kujikuta mtaroni.

31. Kutumia mihemko hakuna tofauti na vita ya majimaji ya kina kinjektile Ngwale.

32. Hakunaga Maandamano ya Amani yenye lengo la kuangusha au kung'oa mtawala. Hakunaga hayo maandamano.

33. Kusema watu wanaandamana kwa Amani kuitoa serikali madarakani ni kufanya stand up comedy.

34. Ni muhimu waandamanaji waambiwe ukweli na wajue wanaenda kucheza mchezo gani.

35. Ni muhimu wajue kuwa nguvu ndogo haiangushi nguvu kubwa. Labda kwa mbinu Kali za kimiujiza.

36. Upande wa pili wana silaha tena za moto. Unawezaje kuangusha dola?

37. Kusubiri mpasuko kwenye vyombo vya Dola ni kusubiri Dodo kwenye mnazi. Ni muujiza.

38. Ni muhimu watu wajue Hali ilivyo ili wasije wakawa wanaota ndoto mbaya usingizini.

39. Ni muhimu pia watu wajue kuwa Watawala wengi linapokuja suala la utawala wapo tayari kufanya lolote. So kutegemea watawapa ushindi we mezani hicho nacho ni kituko.

40. Unataka kiti. Pigana na Mimi ukishinda chukua. Hivyo ndivyo watawala wa kiafrika walivyo.

41. Nafikiri nimemaliza. Leo sijazungumzia HAKI. Nimezungumzia UKWELI na UHALISIA.

42. Usijesikiliza Wimbo wa Makombolelo ukakujaza vibe na Morali ukaingia kwenye mapambano bila mipango na mbinu.
Huu mchezo ni ukanda mwingine kabisa.

Nawatakia tafakuri njema.
Acha nipumzike sasa.

Taikonmaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hivyo niulize swali mbona china hawana haya mademokrasia na wa success?
 
Ni muhimu pia watu wajue kuwa Watawala wengi linapokuja suala la utawala wapo tayari kufanya lolote. So kutegemea watawapa ushindi we mezani hicho nacho ni kituko.
 
Hakuna dola itadumu ikiwa Kuna mgawanyiko
CCM hii imegawanyika na ina mpasuko
Hakuna dola ilidumu Kwa kufanya dhulumat, ukatili, fitina, kuuwa na kuteka watu
Hizo dola laZima zianguke tu
 
Watu wenye nguvu na watu aggressive waliopo katika system ndo wakipishana interest , overthrow n.k hutokea .

Mimi mpaka najiuliza hawa GEN Z wanapambana na CCM Ila ndani ya CCM kuna security agency , zipo kuilinda CCM , wapo watu ambao wameiweka ccm hapo na n.k

Ikitokea CCM itaanguka ujue itakuwa imesababishwa na wao kwa wao na sio hizi movement za tiktok .
 
Hivyo niulize swali mbona china hawana haya mademokrasia na wa success?
Shida sio demikrasia
Shida ni haki
China ufisadi na Rushwa ni zero.
China hakuna raia anatekwa na kupotezwa ovyo
Vijana wa China wanatengenezewa fursa za ajira na kujiajiri

Huku kwetu Sasa shule haina madawati ila watoto wa viongozi wanachezea madolali geto
 
Je Africa unahisi Ina umuhimu kuwa na demkraasia ?
 
Safari hii nguvu ya umma itawashangaza sana.
Msimalize maneno. Wekeni akiba.
 
Je Africa unahisi Ina umuhimu kuwa na demkraasia ?
Ndiyo. Democrasia ndiyo njia nzuri ya utawala
Democrasia inatoa uhuru wa kuchagua au kuchaguliwa
Democrasia inatupa viongozi wanaowajibika Kwa walioaachagua
Democrasia inatupa uhuru wa kuhoji na kujieleza
 
Je mbona kabla ya demokrasia kuwepo Africa tulikuwa na Amani na hakukuwa na huu ujinga uliopo sasa.

Hapa nina refer miaka kabla ya ukoloni
 
Hamjambo!

1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi.

2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe.

3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu kubwa. Popote pale.

4. Katika muktadha WA kisiasa. Vyama vya siasa vinapambana kila Siku kuwania Dola. Kushika mamlaka ya nchi.

5. Ili Chama au mtu ashike Dola lazima awe na nguvu kubwa kuliko vyama vingine.

6. Mbugani, kanuni za mwituni ni Simba mwenye nguvu ndiye hutawala. Na ili Simba mwingine aingie to the power lazima amuangushe Simba mtawala. Amzidi nguvu.

7. Kwenye siasa kuna nguvu za aina kuu tatu;
a) Nguvu za Pesa
b) Nguvu za Ushawishi.
c) Nguvu za kiroho.

8. Nguvu a na b zinategemea Nguvu C. Yaani nguvu za kiroho ni constant ili ushike power.

9. Ukishakuwa na pesa au ukaungwa mkono na wenye pesa yaani matajiri iwe kwa hiyari yao au ukatumia mabavu kuwalazimishsa wakuunge mkono basi kushika dola ni uhakika.

10. Ukidhadhibiti wenye pesa yaani matajiri kinachofuata ni kutafuta nguvu ya ushawishi. Hapa hata kama hauna ushawishi unaweza kutumia ushawishi wa watu wengine kama ilivyo kwa biashara zingine. Mfano sio lazima uwe Mfamasia ili umiliki au ufanye biashara ya famasi.

11. Hivyo unachukua watu wenye ushawishi wawe upande wako. Kuna ushawishi wa mambo mengi lakini ushawishi wenye nguvu upo katika Imani(dini) na mambo ya burudani na Sanaa.

12. Kutumia nguvu kwenye Dola au kuongoza Dola sio njia Bora kwa wakati wote. Ila ni muhimu kwa makundi Fulani ya watu ili kulinda Dola. Wanasiasa na watawala mara zote falsafa zao zimejengwa kwenye mambo hayo mawili Utajiri na ushawishi.

13. Unapompinga mtawala Jambo la Kwanza kwenye akili yake lazima aon kuna mtu kakutuma yaani kakushawishi na mtu huyo ni maarufu Mwenye ushawishi.

14. Au umepewa pesa na tajiri Fulani iii umpinge. Hivyo ndivyo saikolojia ya watawala na wanasiasa walivyo.

15. Mwanasiasa hawezi kukuamini hata kidogo unapomwambia unamkosoa au kumpinga kwa matendo yake na haujatumwa wala kulipwa. Hawaaminigi kitu kama hicho.

17. Siasa ni mchezo wa maslahi. Mwanasiasa kama wewe sio mwanasiasa mwenzake haoni anagusaje maslahi yako. Hata ukimuelewesha vipi haoni. Zaidi atakuona unafuata mkumbo, au umelipwa au unamfanyia makusudi kumhujumu.

18. Tukirudi kwenye hoja ya nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo.

19. Mtu anayekushinda ushawishi mfano hata humu JF au mtandaoni na wewe hakuna anayekujua ni ngumu kumshinda. Mfano Mimi Mtibeli na Mshana Jr Ni ngumu kwangu kumshinda Mshana kwani nguvu Yangu ya ushawishi dhidi yake ni ndogo.

20. Kuitoa CCM au kuangusha Dola ya CCM sio Jambo rahisi kama wengi hasa Gen Z wanavyofikiria.

21. Unazungumzia Dola. Yaani serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama.

22. Unahitaji nguvu kubwa zaidi kuishinda Dola. Sio tuu ya CCM Bali Dola you're.

23. Wanasema Kirikuu haiwezi kusukuma au kuvuta Lori

24. Kuna mtu anasema labda nakatisha watu Fulani tamaa. Nope nazungumzia ukweli. Ukweli utakaosaidia kwa sehemu.

25. Unafikiria kumng'oa Rais, ambaye Neno lake moja majeshi wanafuata without fear without care. Lazima ujiulize mara tatutatu Nina nguvu za kutosha au angalau zinazolingana kumtoa Rais madarakani?

26. Hilo swali ni muhimu Sana. Kabla ya kurisk kuingia mzigoni.

27. Je unaongozwa na uhalisia au matamanio? Hilo pia ni swali muhimu pia.

28. Kuongozwa na uhalisia kuangalia nguvu ulizonazo. Je unatoshana?
Unanguvu za kutosha za ushawishu kwa watu?
Mambo ya kutazama;
a) Nguvu ya kutosha kiushawishi.
Je watu nikisema watoke watatoka. Je wakitoka watafanya nini? Je wataweza kukabiliana na upande wa pili kwa mapigano yoyote?

b) Nguvu ya Pesa.
Je mnapoingia ulingoni pesa za mapambano zipo. Chakula, madawa, n.k.
Usipokuwa na nguvu ya pesa ni rahisi kushindwa mapema Sana. Au kusalitiana na kurushiana lawama ndani ya timu yenu.

c) Stamina.
Huwezi kuitoa Dola kama hauna stamina.
Stamani inatokana na Nguvu ya pesa, ushawishi na mbinu za kimedani wakati wa mapambano.

Huwezi fikiria utatumia Siku mbili au tatu au Saba kuitoa serikali madarakani. Huko ni kujidanganya.

30. Siasa na utawala sio maeneo Rafiki Sana ukitumia na kuleta MIHEMKO.
Ukileta mihemko ni rahisi kujikuta mtaroni.

31. Kutumia mihemko hakuna tofauti na vita ya majimaji ya kina kinjektile Ngwale.

32. Hakunaga Maandamano ya Amani yenye lengo la kuangusha au kung'oa mtawala. Hakunaga hayo maandamano.

33. Kusema watu wanaandamana kwa Amani kuitoa serikali madarakani ni kufanya stand up comedy.

34. Ni muhimu waandamanaji waambiwe ukweli na wajue wanaenda kucheza mchezo gani.

35. Ni muhimu wajue kuwa nguvu ndogo haiangushi nguvu kubwa. Labda kwa mbinu Kali za kimiujiza.

36. Upande wa pili wana silaha tena za moto. Unawezaje kuangusha dola?

37. Kusubiri mpasuko kwenye vyombo vya Dola ni kusubiri Dodo kwenye mnazi. Ni muujiza.

38. Ni muhimu watu wajue Hali ilivyo ili wasije wakawa wanaota ndoto mbaya usingizini.

39. Ni muhimu pia watu wajue kuwa Watawala wengi linapokuja suala la utawala wapo tayari kufanya lolote. So kutegemea watawapa ushindi we mezani hicho nacho ni kituko.

40. Unataka kiti. Pigana na Mimi ukishinda chukua. Hivyo ndivyo watawala wa kiafrika walivyo.

41. Nafikiri nimemaliza. Leo sijazungumzia HAKI. Nimezungumzia UKWELI na UHALISIA.

42. Usijesikiliza Wimbo wa Makombolelo ukakujaza vibe na Morali ukaingia kwenye mapambano bila mipango na mbinu.
Huu mchezo ni ukanda mwingine kabisa.

Nawatakia tafakuri njema.
Acha nipumzike sasa.

Taikonmaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kubali TU huna fikra zinazoendana na kizazi kipya Kwa sasa

Ungetulia usome kwanza mchezo wa nyakati hizi

Jipe muda wa kutulia acha kukurupuka
 
Back
Top Bottom