Nguvu inayotumika Hanang ingekuwa inatumika kwenye miradi na huduma mbalimbali za Serikali, Tanzania ingekuwa kama Marekani kimaendeleo

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Hakika nimeshangazwa na UTENDAJI KAZI wa Viongozi wetu Kuanzia RAIS WAZIRI MKUU MAWAZIRI WAKUU WA MAJESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NA WATENDAJI Mbalimbali Walivyoizingira Wilaya ya HANANG na kuhakikisha HALI yake ya Kawaida inarejea kwa haraka sana.

UTENDAJI huu ungekuwa unafanywa kwenye MIRADI mbalimbali ya NCHI nina hakika hii NCHI ingekuwa na MAENDELEO MAKUBWA Kama MAREKANI.

Kwa Mfano Suala la kupeleka UMEME VIJIJINI Mradi huu ungekuwa unafuatiliwa kama Hanang inavyofuatiliwa toka MAFURIKO yametokea naamini VIJIJI vyote vya TANZANIA vingekuwa na UMEME.


Vivyo hivyo Upimaji VIWANJA, Uchimbaji Visima Usambazaji Maji, Utengenezaji Madawati
Ujengaji Mashimo ya Vyoo Mashuleni.

Ujengaji Madarasa na Barabara hakika TANZANIA isingekuwa hii ya MIAKA 62 ya UHURU ya kuhangaika na Matundu ya VYOO na MADAWATI.

VIONGOZI wetu BADILIKENI Vamieni MIRADI na HUDUMA mbalimbali kuhakikisha WANANCHI wanazipata kwa Wakati Kama mlivyoivamia HANANG
 
Back
Top Bottom