"Nguvu iliotumika, inaendana na tukio" Hii kauli msiisahau watanzania

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.

Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.

Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
IMG-20260102-WA0000.jpg

Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.

Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
 
View attachment 3523907

SAMIA NI MUUAJI
 
Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P
 
Hiyo picha ilinitoa machozi!! M/mungu awalaze pahala Pema wote inshallah
 
Anasema tarehe 29 Nguvu iliyotumika iliendana na tukio.

Nani alitoa amri wakati hatukua na rais bali wagombea urais?

Siku ya uchaguzi(tar 29) yeye alikua ni mgombea kama wagombea wengine, je kwa nini alitoa amri ya kutumia nguvu na nyie wakuu wa vyombo mkakubali kutekeleza(hapa wakuu wa vyombo tunahitaji ufafanuzi)

Vipi kama matokeo yangetangazwa halafu mshindi akawa mtu mwingine? Na watu mmeshawapiga risasi, au wenzetu(wakuu wa vyombo)mlikua na matokeo yenu kabla?

Mlikubali vipi kupokea amri kwa mtu ambae ni mgombea na sio rais?

Au katiba inasemaje mtu anapoingia kwenye uchaguzi cheo chake huwa kinabaki pale pale?(KATIBA KATIBA KATIBA)

Huyu akipelekwa ICC anaweza kuwaruka futi sita nyie wakuu wa vyombo kwa mlichofanya.
 
matokeo yatangazwe mshindi awe mwingine kwa mtu aliyekua anashindana na picha yake?
 
Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P

Two wrongs doesn't make it a right.
Kosa halihalalishi kosa lingine.
Yeye angeweza kuepusha uharibifu na ukatili huu.
Najua hakutoa amri kuuwa watu wasiokuwa na hatia Kama huyo binti ila aliwaamini mno na kuwasikiliza wahalifu waliomzunguka.
Huu mtego katengenezewa au kajitengenezea mwenyewe.
Wengi wa waliokabidhiwa bunduki hawakuwa na akili timamu siku zile 3. Wachache sana walibaki na akili yao nzuri kati ya waliopewa bunduki. Kuna genge la kihuni lilijipenyeza.
Akitaka kujua ukweli awatume ile tume ya Othman wafanye uchunguzi kwa uhuru kisha wampe au watoe hadharani ripoti isiyo chakachuliwa.
Atayajua mengi ambayo bado hayajui jinsi alivyo zungukwa na wahuni wajanja.
 
Kosa lilianzia hapa, hamuangalii aliyeanzisha bali mnaangalia aliyemalizia...

View: https://youtu.be/Pgu4VfqBGKs?si=9ZsKGWdJTSbDLh7P

Kwani Lissu ndiye aliyeiba uchaguzi 2024 ......!!?

Maza kafanya makosa mwenyewe. Hakuna kutafuta mchawi hapa.

Aliaanza na 4R za uongo, akaja na Kikosi kazi magilini na madaraka yalipofika kichwani akaamua na kuiba uchaguzi wote wa 2024 kupitia Mkwe wake mwenye Kifua Kipana.

Umesashau ni huyu huyu aliyedai hadharani kuwa Yeye ni amili jeshi Mkuu, Octbaer 29 hakutakuwa na NYWI NYWI NYWI wala nywi nywi nywi.....!!
 
Two wrongs doesn't make it right.
Kosa halihalalishi kosa lingine.
Yeye angeweza kuepusha uharibifu na ukatili huu.
Najua hakutoa amri kuuwa watu wasiokuwa na hatia Kama huyo binti ila aliwaamini mno na kuwasikiliza wahalifu waliomzunguka.
Huu mtego katengenezewa au kajitengenezea mwenyewe.
Wengi wa waliokabidhiwa bunduki hawakuwa na akili timamu siku zile 3. Wachache sana walibaki na akili yao nzuri kati ya waliopewa bunduki. Kuna genge la kihuni lilijipenyeza.
Akitaka kujua ukweli awatume ile tume ya Othman wafanye uchunguzi kwa uhuru kisha wampe au watoe hadharani ripoti isiyo chakachuliwa.
Atayajua mengi ambayo bado hayajui jinsi alivyo zungukwa na wahuni wajanja.
Ni kweli "Two wrongs don't make a right", na huu ulikuwa ni mtego aliyowekewa Samiya, lakini wao wakaona wapite nao kwa kufanya kilichotokea na kuipindua meza kwa Lissu na wenziwe na ni onyo kwa wanaotaka kuleta vurugu.
Hiyo tume itakachokuja nacho ni total destruction kwa Lissu.
 
Samuya miyeyusho sana ,anataka maridhiano ya nini? Kaunda tume ya kukusanya maoni ya nini ingawa kwenye speeches zake huko nyuma alishatoa conlusion kwamba waliondamana wengi walitoka nje ya nchi? Mwigulu naye akasema waandamanaji wa ndani walilipwa pesa?

Samuya ndiyo aliyetoa order wananchi wauawe sasa anataka maridhiano gani? Aachie ngazi kwanza afikishwe kwenye vyombo vya kisheria apate haki ya mauaji na wote walioshiriki kuua raia washitakiwe.

Hakuna maridhiano bila haki ya waliouawa kupatikana.
 
Kama kuna kosa litafanyika, ni kusahau kua samia aliua na kisha alijisifia hadharani kabisa.

Hospitalini tu watu wanapasuliwa vichwa badala ya goti, kama angekua na akili na busara, basi angejua hata hawa wahuni waliopewa bunduki, wanaweza kufanya makosa tena makubwa.
Ila kwakua ni wahuni wenzie wanaolinda uongozi wake haram, akaamua kuwajisifia mauaji.

Hii picha inadaiwa ni katoro mwanza na huyu binti alienda kusaga, unaweza kuona kindoo chake cha unga. Hizi ndio "nguvu inayoendana na tukio" Anayoisema samia muuaji.
View attachment 3523907
Bora sisi tuliopigwa lisasi kwenye maandamano mtasema tumejitakia ila wapo wengi waliuliwa hata maandamano hawajayaona. Na kwa uhuni huu siku akijasema "anajuta" Wahuni wenzie watasema kua yeye ni mtu mwema. Rubish.

Hakika Mungu atatenda na atalipa siku si nyingi, may all bad fate be upon you samia, your family and yout goons
Kuna mmoja alikuuluwa akiwa kakaa ndan anakula matikiti maji
 
Back
Top Bottom