Nguruwe wanauzwa kwa ajili ya kuchinjwa

Well

Member
Mar 20, 2015
74
16
Asante kwa kusoma uzii huu kwako wewe mwanajamii forum

Nauza nguruwe kwa ajili ya kuchinjwa wapo kumi na tatu,

Wapo Marangu mamba mkoani Kilimanjaro,

Wanauzito kuanzia kilo 54 mpaka kilo 69,bei nikuanzia 240,000 na kuendelea

Samahani picha zilikwama kujiweka,

Namba zangu ni 0762283253
Email:kennedyshirima09@gmail.com

Asante sana karibu tufanye biashara,

Uwe na siku njema
Kennedy Shirima
 
Back
Top Bottom