Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

Feb 20, 2012
64
16
Habari wanabodi!

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na waraka huu maalum,

ulioandikwa na baadhi ya watumishi wa idara ya uhamiaji makao makuu

Dar es Salaam, kuelezea namna ukabila hususan uchaga ulivyokithiri ktk

idara hiyo,

naomba nisiwachoshe, pitieni wenyewe na mjionee namna hali ilivyo ktk

idara hii nyeti ya nchi yetu.

Wasalaam

MHE: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI TUNAOMBA USHUGHULIKIE UKABILA HUU NA RUSHWA HII NDANI YA IDARA YA UHAMIAJI.

Mhe. Waziri Nchimbi huu ni sehemu tu ya matatizo ya Idara ya Uhamiaji na tumeonelea tuguse maeneo makuu mawili ambayo kwayo madhara mengine yametokea. Mosi ukabila,Idara kwa sasa inaongozwa na wachaga na kurithishana madaraka kwa ajili ya kulinda mtandao wao. Muasisi wa mtandao huu ni Kishe ambaye kwa sasa yupo Namanga kama mfawidhi. Huyu ndiye aliye mleta Mongi, Shayo, Kasike, Mtenga, Mgonja na Kumuwekea mazingira ya kuwa mwanasheria wa idara Hannerole Manyanga .

Hawa wamekamata utawala na kwa kupitia ofisi hiyo wameajili na kuwapangia wachaga na wapare kwenye maeneo ya mikoa mikubwa ambako wanawasapoti kwa kuhakikisha wanapewa upendeleo katika nafasi za fedha hata kama hawana sifa hizo. Ukifanya utafiti utagundua kuwa mchaga mwenye ufaulu mdogo ata ajiliwa akiachwa mtu wa kabila lingine mwenye ufaulu mzuri hivyo idara sasa inaajili watu wa kawaida sana tofauti na hapo awali. Tabia hii ya kuajiliana na kupangiana vituo imetengeneza mtandao wa kupeana pesa, yaani wanageuzana ni chanzo cha mapato cha walio wasaidia kupata kazi ama kituo.

Tabia hiyo imejenga tabia ya watumishi kuona kua bila pesa huwezi saidiwa kwani vijana walio waajili wanaongoza kwa matendo yasiyo ya ki utumishi wa umma,maana wanajua kazi yao ni kupeleka pesa na hakuna wa kuwawajibisha. Hawa ni maarufu kumtengenezea mtu kashfa hasa anayetishia kuuvuruga mtandao wao bila ya yeye mwenyewe kujua.

Ebu angalia namna walivyo mpatia cheo DCI Mongi ili arithi na kuficha siri za Shayo. Huyu Mongi hakuwepo wakati vyeo vya mkululo (U Kamisha msaidizi) vilipo tolewa alikuwa katika tume ya utumishi wa umma, na alipo rudi kwa namna ya mashaka , yeye binafsi alikua mmoja wapo wa kutaka kuvifuta, kwani baada ya kuona mchakato utachukua muda mrefu akaanzisha mchakato wa yeye kujipatia cheo.

Wakimtumia Joseph Francis Kasike na Hannerole Manyanga (Mwanasheria) kuomba cheo hicho kupitia Ofisi yako na kushindwa kupewa mara mbili kwa hoja kuwa bado utumishi Wizara wanavifanyia kazi , huyo Kasike akaamua kwenda utumishi kuu na kumuona Bwana Mlay ambaye yuko utumishi kuu Ikulu, kwa nafasi yake akampatia cheo ndugu Mongi eti idara ime muombea cheo. Sasa amepangiwa kazi ya Nduguye Shayo mwenye tuhuma ya uchakachuaji wa permit za Idara.

Mhe. Nchimbi sisi hatuna ubaya na hawa watu na tunafanya kazi nao lakini tabia zao zina tupelekea kujiuliza mustakabari wa Idara hii kwa vizazi vijavyo. Ebu angalia na hii ya hivi karibuni ambayo imetokea Tanga. Kuna afisa anaitwa Erasimus Francis ambaye naye ni mchaga, alihamishwa toka Arusha kwenda Pangani kama adhabu baada ya uchakachuaji wa permit huko Arusha. Huyu afisa aliondoka kituoni kwake takribani miezi sita bila ya ruhusa na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwake na afisa uhamiaji Mkoa DCI Nyaki (mchaga) , kama alivyo wachukulia Afisa Gervas Mpangie wa Tanga, ambaye ni mgonjwa wa moyo na kutokana na maradhi yake ambayo ofisi inajua alienda matibabu na kuchelewa kurudi sasa ana jibu mashitaka, na kama alivyo chukuliwa Ghalib Yusuph wa Tanga ambaye alizidisha siku za likizo kwa sababu za kuuguliwa na wazazi, sasa anajibu Mashitaka.

Bali kwa huyu mchaga hali ni tofauti. Hakuna barua toka kwa RIO Tanga. Lakini Honelole Manyanga, Joseph Francis Kasike na Mary stella( PHRO – Mpya nayeye Mchaga). Wamemtafuta na kumtaja Erasimus Francis kama msomi mzuri hivyo hawawezi kumpoteza na wamemhamisha toka Pangani hadi Chuoni Moshi TRITA, na kumpeleka training ili apate pesa kwani Idara ili mchanganya (frustrate) kwa kumpeleka pangani, kuna maafisa wazito na weredi wa kazi za idara sana wamenyanyasika na adhabu za visingizio hapa idarani hatuja wahi waona wakithamini ujuzi na uzoefu wao na waliishia kuacha kazi ama kuishia kulewa tu mpaka wanakufa au kustaafu .

Hivi hii ni nini? Kama si kulewa madaraka, ebu niulize ni watumishi wangapi ambao si wachaga wametendewa hivi? Na Kwanini vikao vikaliwe vya watu wa kabila moja? Mhe. Waziri Idara ina wasomi wengi mno na wenye uelewa mkubwa wa masuala ya fani mbalimbali lakini aliye katika mtandao huu Mchaga ndiye bora kuliko wote. Wamejenga utamaduni wa mkono mtupu haulambwi. Mtandao wao unaigharimu Idara, Umebadili dhamira ya kuwa Afisa uhamiaji ni mtumishi na badala yake Uhamiaji imekuwa ni kusaka fedha kwa njia zisizo halali kwani wapo watakao kulinda na kukutetea.

Wachaga ni watumishi wa vituo vilivyo vikubwa tu, huwezi kuwakuta Pemba ambako tunapelekwa siye tukionekana ni kero kwao bali wao ni wasomi wazuri waa Idara (si wao haiwezi kuwapoteza). Wana haki ya kutamba maana wamefanikiwa kukamata Idara ya Fedha- Peniel Mgonja, Joseph Mtenga -Planning, Msaidizi wa Mhasibu mkuu Jane Temu na Ludovick Kavishe – system wameikamata idara wanaweza kushawishi na kutekeleza walio jipangia bila kubainika wala wasiwasi. Hapo idarani kuna watumishi wenye CPA nab ado hawajawa wasaidizi wa Chief Accountant, hata walio jaribu kuwa wasaidizi wasio wachaga walifanyiwa zengwe na kuondolewa, angalia wakuu wa vitengo wengi wao ni hao hao Wana wa Israel.

Permit yupo Dawson Mongi, Passport yupo Hilgat L Shauri. Legal yupo Hannerole, Utumishi yupo Mary Stella na Joseph Kasike, Manunuzi yupo Mshana na Transpot yupo Musa. Mtandao huu umetumika vibaya kwani hata baadhi ya Maafisa uhamiaji mikoa wametumika kuu imarisha. Kwa tabia mbaya za maafisa hao wa Mikoa kupenda kuwa nyanyasa watumishi na kuwatishia kuwa hamishia vituo vigumu kama manyara,Pemba, Lindi,Songea , Rukwa na Mtwara watumishi wasio kubaliana na utendaji wao mbovu wame jikuta wakiwapigia magoti wana mtandao hawa ili kutimiza adhima yao.

Mhe. Nchimbi, ukienda mikoani tembelea makao makuu ya mikoa na kituo chochote cha mpakani ambacho kipo active, utaona idadi ya wachaga waliopo hapo na sehemu walizo pangiwa. Wanapangiwa sehemu ambazo hawaja somea na kuna wasomi walio somea sehemu hizo. Hawaoni shida hata wakiwa wote kwenye kitengo kimoja wao ni wa ISRAEL , na sisi wengine ni Wapalestina ndivyo wanavyo jiita na kutuita. Kwa kua eti wana IGP, Mkuu wa Magereza, Na Uhamiaji wata Muweka Hannerole Manyanga kuwa kamishina mkuu wa Uhamiaji. Na sisi tunasubiri utimie unabii wao.

Lakini tuna jiuliza kama hali ndiyo hii kuna uwezekanao mkubwa kuwa mtandao wao si mdogo bali ni mkubwa na upo hata nje ya Idara na Wizara. Mhe Nchimbi hii ni dalili ya mvua au mvua kamili maana tayari picha unaiona. Uteuzi Ma RIO wa hivi karibuni ni kero kabisa una fanana na kinachoendelea kwa jirani yetu. Towo – Lindi, Kombe – Kagera, Rose – Njombe, Nyaki – Tanga, Mlay na Mosha – Tunduma, Kishe – Namanga, Masawe – Dodoma, RIO - Dsm. Sasa wamemsogeza Arnold Munuo toka Lusumo kuja Dar es salaam kuja kuandaliwa kushika nafasi ya utumishi na hali wapo watu waliobobea na wasomi wapo vitengo vingine.
Mtandao huu si kwa manufaa kwa nchi au Idara bali ni kwa manufaa ya matumbo yao na jamaa zao, tabia hii uambukiza kwani waswahili usema ukiona huwezi kuwashinda basi ungana nao, hivyo Viongozi wengine wengi wame ungana na Mtandao huu ili kuficha maovu yao. Sisi tuna jiuliza kweli serikali hailioni hili na kama inaliona inakaa kimya kumaanisha nini? (Sisi tuna hofu isije ikawa ndiyo labda serikali yote imekuwa mdau wa mtandao wa wachaga.) . Huyu Mary Stella Majula (PHRO) yeye kaja na jukumu la kuwa shughulikia watu wa kanda ya ziwa eti ni wengi hapo makao makuu, na hali yeye anaenda kwao (Moshi-Marangu)kila mara, akitumia pesa za serikali na hali hatujui huko anafanya nini au idara iko Kilimanjaro tu?

Tabia ya kuwawinda watu wa kanda ya ziwa ni hatari kubwa kwa watumishi, sisi tuna dhani hataishia hapo ataendelea kuwashughulikia na watumishi toka kanda ya kati, Kusini, Kusini nyanda za juu na Mashariki kwani kaletwa kusafisha njia ya wana wa Israel, kuu pata Ukurugenzi

Wafuatao ni wanamtandao waliopo Makao makuu na viongozi wao wenye majina yaliyo nakshiwa.
1.Peniel Ombeni Mgonja 2. Isaack Bahati Fota 3. E Crymont Nsowela 4.Dawson Emil Mongi
5. Nandula Patience Kombe 6. Anna Kyara Michael 7.Hannelore M Manyanga 8. Rogate Mingo Daniel
9. Joseph Henry Mtenga 10. Lusarago D Mreka 11. Gloria W Mbasha 12. Peter William Lemery
13. Kale sylivia Joseph Utouh 14. Violeth Kiwelu Eliabu 15. Felis Bilauri Mshana 16.Abdallah Musa Msangi 17. Liberatus Stanley Njuu 18. Mary Stella Majula 19. Joseph Francis Kasike 20. Sifael Stephen Tendwa 21. Novatus Aloyce Mlay 22. Beatrice Anamensa Kanza 23. Adinani Kidah Musa 24. Hendrick Fraita Mtui
25.Zakayo Leonard Lema 26. Novaita Edmund Mrosso 27. Moses Ismail Malisa 28. Dotto Roman Selasin
29. Christian Bernard Daat 30. Liberia Onesphony Manyanga 31. Christian Francis Mndeme 32. Frida Frant Maeda 33. Happiness William Kambuga 34. Triphonia Joseph Kinebo 35. Laurentia Isdom Blasius 36. Hilda Dawson Uiso
37. Tunu Mfinanga Asili 38. Marylen Msangeni Elisaria 39. Francis Noel Katawa 40. Irene Abel Mlack 41. Prosper Dions Mushi 42. Fasiruni Shabani Msofe 43. B Roman Kereti 44. Arnold Remy Mrema
45. Damian Roman Chikwa 46. Magreth Johnson Ngomuo 47. Hyasinter Ndewingla Tarimo 48. Salome Edgar Bolly
49. Gelard Honest Kawishe 50. Glory Ephraimu Mbuya 51. Hilgat Laurent Shauri 52. Paul John Mselle 53. Rose Robert Shayo 54. Patric Boniface Ngowi 55. Peter Jerome Kundy 56. Lucy Anselm Nyaki 57. Donald Lyimo Dustan 58. Siana Manasseh Kidin 59. Epiphania Joseph Lyimo 60. Juliana Selestine Mnerey
61. Lilian Humphrey Maleko 62. Raphael Timothy Maembe 63. Beatrice Elineema Lema 64. Lilian Emmanuel Lema 65. Irene Fraterine Lyamungu 66. Victor Stanley Ngowo 67. Jane Temu 68. Emmanuel Elihuruma Mrema 69. David Amani Minja.70. Ludovick Kavishe.

Mhe. Nchimbi hali hiyo ipo makao makuu tu na hao tulio wa wekea vivuli ndiyo vinala wa mtandao huu katika vitengo mbalimbali. Mkakati tulio nalo ni kuanika uozo wote mikoani baada ya kukueleza ya Makao makuu kwani hata huko mtandao ume waweka wachaga kwenye maeneo wasio na sifa nayo huko mikoani kupitia Ma Rio, ama yenye kuwaneemesha wao kwa njia moja ama nyingime. Pamoja na kasumba ya kutengenezeana mazingira ya nafasi za masomo na kozi fupi na safari za nje ya nchi kwa watumishi junior wakati senior officers hawajawahi kwenda wala kutumwa. Idara hii huwezi zungumzia suala la elimu, kwani vihiyo wa elimu bado watabaki ni haohao wachaga waliozoea kubebana hata vyuoni.

Pili Rushwa, ya ndani ya Idara ni kama mazoea sasa kwani bila pesa huna cheo wala huja amishiwa unapo stahili, Imefika wakati Wana sema ``nitakufanya utakaa usipewe ofisi ndani ya Idara hii kamwe'' hii utokea pale unapoonekana kikwazo mfano ni juzi tu, pale msaidizi wa Kishe kule namanga alipo mwambia Waziri Kagasheki kuwa incharge huwa akaagi ofisini bali kwenye mapombe tu, kilicho tokea msaidizi alihamishwa haraka sana, hali ni hiyo hiyo ipo Tunduma kwani ukimkuta Mlay ofisini basi katambikie, ila yeye amekasimu madaraka kwa Mosha na hivi sasa nasikia wanahalalisha ukaimu wa Mosha kwa kuwaondoa wale waliomzidi cheo.

Mhe. Nchimbi vyeo, kuajili na uhamisho ni rushwa isiyo kifani na mhusika mkuu ni Kasike, Mongi, Mgonja na Hannerole. Mgonja hana waku mlalamikia kwa kutajwa kwake kwani kama hanufaiki na mtandao huu anajisikiaje pale watu wanalalamika hali yeye yupo na hakuna mabadiriko, ana nufaika kwani mambo yake yanakwenda sawa, hivyo mwenye shibe hamjui mwenye njaa sisi tunajua walipo jificha tuta wauumbua wakibisha kwani tunaishi nao.

Mhe. Nchimbi tumetaja jina lako mara kadhaa na si wadhifa wako kwani una nyadhifa nyingi, hivyo tukaonelea tutaje ambayo kwayo jamii ilikutambua na kuku heshimu kwa sababu kuu mbili, Mosi Tunaomba uhakikishe Kamishna Mteule Ulungi ana apishwa ili aache visingizio kucheza karata walizo mzoesha akina Shayo, ili alione tatizo na umsaidie kuitengeneza idara katika sura ya kitaifa. Pili uungalie mtandao huu kwa mapana yake kwani ni aibu na haionyeshi usomi wetu hata kidogo. Imefikia vijana wanao ajiliwa sasa wanajua watapangiwa wapi kabla ya kumaliza mafunzo na ni lazima wapangiwe huko huko, hivyo uanza kazi leo na leo leo wanaanza kuchakachua hii ni Rushwa mbaya sana haifai.

Mwisho tuna wataka maafisa wote wa uhamiaji popote pale walipo watambue kuwa hawako salama, hivyo basi ni kujitahidi kuufichua mtandao huu na viongozi vibaraka wa mtandao huu, kwani hakuna wa kuthubutu kama hatuja thubutu. Tunakuja mikoani andaeni au tumeni kwenye email mukabila@gmail.com hii dondoo za kumpelekea Mhe. Nchimbi na Mkurugenzi wetu.

Aksante.
Nakala – PCI Ulungi.
Watumishi wote wa Makao Makuu DSM / Znbar via Kaswende – usiufiche waraka huu.
Mikoa yote ya Uhamiaji.
 
Attachments

  • ukabila idara ya uhamiaji.docx
    23.6 KB · Views: 651
Habari wanabodi!

Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na waraka huu maalum,

ulioandikwa na baadhi ya watumishi wa idara ya uhamiaji makao makuu

Dar es Salaam, kuelezea namna ukabila hususan uchaga ulivyokithiri ktk

idara hiyo,

naomba nisiwachoshe, pitieni wenyewe na mjionee namna hali ilivyo ktk

idara hii nyeti ya nchi yetu.

Wasalaam

asante mdau kwa kutupatia waraka huu.
ngoja niupitie kisha baada ya tafakuri, nitarudi hapa kwa mchango zaidi.
ila kifupi idara hii ndio watumishi wake wanapangiwa vituo kwa upendeleo,
atumishi wengine pengine ndio hao 'wachaga' huchagua kwa kuhamia popote watakapo,
na wengine wanaozea mikoa ya pembezoni hadi wanastaafu.
puuu
 
Wadau hivi ni kwanini wachaga kila mahali wawe wanalalamikiwa, yani mpaka uhamiaji naona huu ni uzushi sababu hawa watu uwepo wao ni kutokana na elimu walizonazo.
 
Hawajafikia kiwango hicho unachodhania zaidi zaidi ni wakabila wakubwa tunawaona wanavyofanya mahali pengi tu!
 
someni acheni uvivu mshike nafasi izo, uhamiaji walianzaga na udini sasa naona ukabila
 
poor mind.. haya na wewe unaxoma nini wana jf tukufanyie makeke upate kitengo, uache kutubagua kwa mising ya ukabila, inferiority complex unayojijengea dhidi ya hilo kabila ndo inakutafuna sista\br... if u thk u are beaten.. then u are.. piga kaz acha kukalia ujinga wewe... nchi hii kila mwenye uthubutu na mipango popote anafanikiwa... mijungu na fitna namna hii utaua familia sist\br.
 
MHE: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI TUNAOMBA USHUGHULIKIE UKABILA HUU NA RUSHWA HII NDANI YA IDARA YA UHAMIAJI.

Mhe. Waziri Nchimbi huu ni sehemu tu ya matatizo ya Idara ya Uhamiaji na tumeonelea tuguse maeneo makuu mawili ambayo kwayo madhara mengine yametokea. Mosi ukabila,Idara kwa sasa inaongozwa na wachaga na kurithishana madaraka kwa ajili ya kulinda mtandao wao. Muasisi wa mtandao huu ni Kishe ambaye kwa sasa yupo Namanga kama mfawidhi. Huyu ndiye aliye mleta Mongi, Shayo, Kasike, Mtenga, Mgonja na Kumuwekea mazingira ya kuwa mwanasheria wa idara Hannerole Manyanga .

Hawa wamekamata utawala na kwa kupitia ofisi hiyo wameajili na kuwapangia wachaga na wapare kwenye maeneo ya mikoa mikubwa ambako wanawasapoti kwa kuhakikisha wanapewa upendeleo katika nafasi za fedha hata kama hawana sifa hizo. Ukifanya utafiti utagundua kuwa mchaga mwenye ufaulu mdogo ata ajiliwa akiachwa mtu wa kabila lingine mwenye ufaulu mzuri hivyo idara sasa inaajili watu wa kawaida sana tofauti na hapo awali. Tabia hii ya kuajiliana na kupangiana vituo imetengeneza mtandao wa kupeana pesa, yaani wanageuzana ni chanzo cha mapato cha walio wasaidia kupata kazi ama kituo.

Tabia hiyo imejenga tabia ya watumishi kuona kua bila pesa huwezi saidiwa kwani vijana walio waajili wanaongoza kwa matendo yasiyo ya ki utumishi wa umma,maana wanajua kazi yao ni kupeleka pesa na hakuna wa kuwawajibisha. Hawa ni maarufu kumtengenezea mtu kashfa hasa anayetishia kuuvuruga mtandao wao bila ya yeye mwenyewe kujua.

Ebu angalia namna walivyo mpatia cheo DCI Mongi ili arithi na kuficha siri za Shayo. Huyu Mongi hakuwepo wakati vyeo vya mkululo (U Kamisha msaidizi) vilipo tolewa alikuwa katika tume ya utumishi wa umma, na alipo rudi kwa namna ya mashaka , yeye binafsi alikua mmoja wapo wa kutaka kuvifuta, kwani baada ya kuona mchakato utachukua muda mrefu akaanzisha mchakato wa yeye kujipatia cheo.

Wakimtumia Joseph Francis Kasike na Hannerole Manyanga (Mwanasheria) kuomba cheo hicho kupitia Ofisi yako na kushindwa kupewa mara mbili kwa hoja kuwa bado utumishi Wizara wanavifanyia kazi , huyo Kasike akaamua kwenda utumishi kuu na kumuona Bwana Mlay ambaye yuko utumishi kuu Ikulu, kwa nafasi yake akampatia cheo ndugu Mongi eti idara ime muombea cheo. Sasa amepangiwa kazi ya Nduguye Shayo mwenye tuhuma ya uchakachuaji wa permit za Idara.

Mhe. Nchimbi sisi hatuna ubaya na hawa watu na tunafanya kazi nao lakini tabia zao zina tupelekea kujiuliza mustakabari wa Idara hii kwa vizazi vijavyo. Ebu angalia na hii ya hivi karibuni ambayo imetokea Tanga. Kuna afisa anaitwa Erasimus Francis ambaye naye ni mchaga, alihamishwa toka Arusha kwenda Pangani kama adhabu baada ya uchakachuaji wa permit huko Arusha. Huyu afisa aliondoka kituoni kwake takribani miezi sita bila ya ruhusa na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwake na afisa uhamiaji Mkoa DCI Nyaki (mchaga) , kama alivyo wachukulia Afisa Gervas Mpangie wa Tanga, ambaye ni mgonjwa wa moyo na kutokana na maradhi yake ambayo ofisi inajua alienda matibabu na kuchelewa kurudi sasa ana jibu mashitaka, na kama alivyo chukuliwa Ghalib Yusuph wa Tanga ambaye alizidisha siku za likizo kwa sababu za kuuguliwa na wazazi, sasa anajibu Mashitaka.

Bali kwa huyu mchaga hali ni tofauti. Hakuna barua toka kwa RIO Tanga. Lakini Honelole Manyanga, Joseph Francis Kasike na Mary stella( PHRO – Mpya nayeye Mchaga). Wamemtafuta na kumtaja Erasimus Francis kama msomi mzuri hivyo hawawezi kumpoteza na wamemhamisha toka Pangani hadi Chuoni Moshi TRITA, na kumpeleka training ili apate pesa kwani Idara ili mchanganya (frustrate) kwa kumpeleka pangani, kuna maafisa wazito na weredi wa kazi za idara sana wamenyanyasika na adhabu za visingizio hapa idarani hatuja wahi waona wakithamini ujuzi na uzoefu wao na waliishia kuacha kazi ama kuishia kulewa tu mpaka wanakufa au kustaafu .

Hivi hii ni nini? Kama si kulewa madaraka, ebu niulize ni watumishi wangapi ambao si wachaga wametendewa hivi? Na Kwanini vikao vikaliwe vya watu wa kabila moja? Mhe. Waziri Idara ina wasomi wengi mno na wenye uelewa mkubwa wa masuala ya fani mbalimbali lakini aliye katika mtandao huu Mchaga ndiye bora kuliko wote. Wamejenga utamaduni wa mkono mtupu haulambwi. Mtandao wao unaigharimu Idara, Umebadili dhamira ya kuwa Afisa uhamiaji ni mtumishi na badala yake Uhamiaji imekuwa ni kusaka fedha kwa njia zisizo halali kwani wapo watakao kulinda na kukutetea.

Wachaga ni watumishi wa vituo vilivyo vikubwa tu, huwezi kuwakuta Pemba ambako tunapelekwa siye tukionekana ni kero kwao bali wao ni wasomi wazuri waa Idara (si wao haiwezi kuwapoteza). Wana haki ya kutamba maana wamefanikiwa kukamata Idara ya Fedha- Peniel Mgonja, Joseph Mtenga -Planning, Msaidizi wa Mhasibu mkuu Jane Temu na Ludovick Kavishe – system wameikamata idara wanaweza kushawishi na kutekeleza walio jipangia bila kubainika wala wasiwasi. Hapo idarani kuna watumishi wenye CPA nab ado hawajawa wasaidizi wa Chief Accountant, hata walio jaribu kuwa wasaidizi wasio wachaga walifanyiwa zengwe na kuondolewa, angalia wakuu wa vitengo wengi wao ni hao hao Wana wa Israel.

Permit yupo Dawson Mongi, Passport yupo Hilgat L Shauri. Legal yupo Hannerole, Utumishi yupo Mary Stella na Joseph Kasike, Manunuzi yupo Mshana na Transpot yupo Musa. Mtandao huu umetumika vibaya kwani hata baadhi ya Maafisa uhamiaji mikoa wametumika kuu imarisha. Kwa tabia mbaya za maafisa hao wa Mikoa kupenda kuwa nyanyasa watumishi na kuwatishia kuwa hamishia vituo vigumu kama manyara,Pemba, Lindi,Songea , Rukwa na Mtwara watumishi wasio kubaliana na utendaji wao mbovu wame jikuta wakiwapigia magoti wana mtandao hawa ili kutimiza adhima yao.

Mhe. Nchimbi, ukienda mikoani tembelea makao makuu ya mikoa na kituo chochote cha mpakani ambacho kipo active, utaona idadi ya wachaga waliopo hapo na sehemu walizo pangiwa. Wanapangiwa sehemu ambazo hawaja somea na kuna wasomi walio somea sehemu hizo. Hawaoni shida hata wakiwa wote kwenye kitengo kimoja wao ni wa ISRAEL , na sisi wengine ni Wapalestina ndivyo wanavyo jiita na kutuita. Kwa kua eti wana IGP, Mkuu wa Magereza, Na Uhamiaji wata Muweka Hannerole Manyanga kuwa kamishina mkuu wa Uhamiaji. Na sisi tunasubiri utimie unabii wao.

Lakini tuna jiuliza kama hali ndiyo hii kuna uwezekanao mkubwa kuwa mtandao wao si mdogo bali ni mkubwa na upo hata nje ya Idara na Wizara. Mhe Nchimbi hii ni dalili ya mvua au mvua kamili maana tayari picha unaiona. Uteuzi Ma RIO wa hivi karibuni ni kero kabisa una fanana na kinachoendelea kwa jirani yetu. Towo – Lindi, Kombe – Kagera, Rose – Njombe, Nyaki – Tanga, Mlay na Mosha – Tunduma, Kishe – Namanga, Masawe – Dodoma, RIO - Dsm. Sasa wamemsogeza Arnold Munuo toka Lusumo kuja Dar es salaam kuja kuandaliwa kushika nafasi ya utumishi na hali wapo watu waliobobea na wasomi wapo vitengo vingine.
Mtandao huu si kwa manufaa kwa nchi au Idara bali ni kwa manufaa ya matumbo yao na jamaa zao, tabia hii uambukiza kwani waswahili usema ukiona huwezi kuwashinda basi ungana nao, hivyo Viongozi wengine wengi wame ungana na Mtandao huu ili kuficha maovu yao. Sisi tuna jiuliza kweli serikali hailioni hili na kama inaliona inakaa kimya kumaanisha nini? (Sisi tuna hofu isije ikawa ndiyo labda serikali yote imekuwa mdau wa mtandao wa wachaga.) . Huyu Mary Stella Majula (PHRO) yeye kaja na jukumu la kuwa shughulikia watu wa kanda ya ziwa eti ni wengi hapo makao makuu, na hali yeye anaenda kwao (Moshi-Marangu)kila mara, akitumia pesa za serikali na hali hatujui huko anafanya nini au idara iko Kilimanjaro tu?

Tabia ya kuwawinda watu wa kanda ya ziwa ni hatari kubwa kwa watumishi, sisi tuna dhani hataishia hapo ataendelea kuwashughulikia na watumishi toka kanda ya kati, Kusini, Kusini nyanda za juu na Mashariki kwani kaletwa kusafisha njia ya wana wa Israel, kuu pata Ukurugenzi

Wafuatao ni wanamtandao waliopo Makao makuu na viongozi wao wenye majina yaliyo nakshiwa.
1.Peniel Ombeni Mgonja 2. Isaack Bahati Fota 3. E Crymont Nsowela 4.Dawson Emil Mongi
5. Nandula Patience Kombe 6. Anna Kyara Michael 7.Hannelore M Manyanga 8. Rogate Mingo Daniel
9. Joseph Henry Mtenga 10. Lusarago D Mreka 11. Gloria W Mbasha 12. Peter William Lemery
13. Kale sylivia Joseph Utouh 14. Violeth Kiwelu Eliabu 15. Felis Bilauri Mshana 16.Abdallah Musa Msangi 17. Liberatus Stanley Njuu 18. Mary Stella Majula 19. Joseph Francis Kasike 20. Sifael Stephen Tendwa 21. Novatus Aloyce Mlay 22. Beatrice Anamensa Kanza 23. Adinani Kidah Musa 24. Hendrick Fraita Mtui
25.Zakayo Leonard Lema 26. Novaita Edmund Mrosso 27. Moses Ismail Malisa 28. Dotto Roman Selasin
29. Christian Bernard Daat 30. Liberia Onesphony Manyanga 31. Christian Francis Mndeme 32. Frida Frant Maeda 33. Happiness William Kambuga 34. Triphonia Joseph Kinebo 35. Laurentia Isdom Blasius 36. Hilda Dawson Uiso
37. Tunu Mfinanga Asili 38. Marylen Msangeni Elisaria 39. Francis Noel Katawa 40. Irene Abel Mlack 41. Prosper Dions Mushi 42. Fasiruni Shabani Msofe 43. B Roman Kereti 44. Arnold Remy Mrema
45. Damian Roman Chikwa 46. Magreth Johnson Ngomuo 47. Hyasinter Ndewingla Tarimo 48. Salome Edgar Bolly
49. Gelard Honest Kawishe 50. Glory Ephraimu Mbuya 51. Hilgat Laurent Shauri 52. Paul John Mselle 53. Rose Robert Shayo 54. Patric Boniface Ngowi 55. Peter Jerome Kundy 56. Lucy Anselm Nyaki 57. Donald Lyimo Dustan 58. Siana Manasseh Kidin 59. Epiphania Joseph Lyimo 60. Juliana Selestine Mnerey
61. Lilian Humphrey Maleko 62. Raphael Timothy Maembe 63. Beatrice Elineema Lema 64. Lilian Emmanuel Lema 65. Irene Fraterine Lyamungu 66. Victor Stanley Ngowo 67. Jane Temu 68. Emmanuel Elihuruma Mrema 69. David Amani Minja.70. Ludovick Kavishe.

Mhe. Nchimbi hali hiyo ipo makao makuu tu na hao tulio wa wekea vivuli ndiyo vinala wa mtandao huu katika vitengo mbalimbali. Mkakati tulio nalo ni kuanika uozo wote mikoani baada ya kukueleza ya Makao makuu kwani hata huko mtandao ume waweka wachaga kwenye maeneo wasio na sifa nayo huko mikoani kupitia Ma Rio, ama yenye kuwaneemesha wao kwa njia moja ama nyingime. Pamoja na kasumba ya kutengenezeana mazingira ya nafasi za masomo na kozi fupi na safari za nje ya nchi kwa watumishi junior wakati senior officers hawajawahi kwenda wala kutumwa. Idara hii huwezi zungumzia suala la elimu, kwani vihiyo wa elimu bado watabaki ni haohao wachaga waliozoea kubebana hata vyuoni.

Pili Rushwa, ya ndani ya Idara ni kama mazoea sasa kwani bila pesa huna cheo wala huja amishiwa unapo stahili, Imefika wakati Wana sema ``nitakufanya utakaa usipewe ofisi ndani ya Idara hii kamwe’’ hii utokea pale unapoonekana kikwazo mfano ni juzi tu, pale msaidizi wa Kishe kule namanga alipo mwambia Waziri Kagasheki kuwa incharge huwa akaagi ofisini bali kwenye mapombe tu, kilicho tokea msaidizi alihamishwa haraka sana, hali ni hiyo hiyo ipo Tunduma kwani ukimkuta Mlay ofisini basi katambikie, ila yeye amekasimu madaraka kwa Mosha na hivi sasa nasikia wanahalalisha ukaimu wa Mosha kwa kuwaondoa wale waliomzidi cheo.

Mhe. Nchimbi vyeo, kuajili na uhamisho ni rushwa isiyo kifani na mhusika mkuu ni Kasike, Mongi, Mgonja na Hannerole. Mgonja hana waku mlalamikia kwa kutajwa kwake kwani kama hanufaiki na mtandao huu anajisikiaje pale watu wanalalamika hali yeye yupo na hakuna mabadiriko, ana nufaika kwani mambo yake yanakwenda sawa, hivyo mwenye shibe hamjui mwenye njaa sisi tunajua walipo jificha tuta wauumbua wakibisha kwani tunaishi nao.

Mhe. Nchimbi tumetaja jina lako mara kadhaa na si wadhifa wako kwani una nyadhifa nyingi, hivyo tukaonelea tutaje ambayo kwayo jamii ilikutambua na kuku heshimu kwa sababu kuu mbili, Mosi Tunaomba uhakikishe Kamishna Mteule Ulungi ana apishwa ili aache visingizio kucheza karata walizo mzoesha akina Shayo, ili alione tatizo na umsaidie kuitengeneza idara katika sura ya kitaifa. Pili uungalie mtandao huu kwa mapana yake kwani ni aibu na haionyeshi usomi wetu hata kidogo. Imefikia vijana wanao ajiliwa sasa wanajua watapangiwa wapi kabla ya kumaliza mafunzo na ni lazima wapangiwe huko huko, hivyo uanza kazi leo na leo leo wanaanza kuchakachua hii ni Rushwa mbaya sana haifai.

Mwisho tuna wataka maafisa wote wa uhamiaji popote pale walipo watambue kuwa hawako salama, hivyo basi ni kujitahidi kuufichua mtandao huu na viongozi vibaraka wa mtandao huu, kwani hakuna wa kuthubutu kama hatuja thubutu. Tunakuja mikoani andaeni au tumeni kwenye email mukabila@gmail.com hii dondoo za kumpelekea Mhe. Nchimbi na Mkurugenzi wetu.

Aksante.
Nakala – PCI Ulungi.
Watumishi wote wa Makao Makuu DSM / Znbar via Kaswende – usiufiche waraka huu.
Mikoa yote ya Uhamiaji.
 
Someni acheneni na haya mambo nyie wote ni watz cha msingi kaza boot pata GPA nzuri, kuwa na good experience omba kazi utapata kazi acheni kulalama kila kukicha.
 
Udini na UKabila ni kitu kimoja...
Dawa yenu ipo jikoni ...siku ikichemka ...mtajuta

1.Peniel Ombeni Mgonja
2. Isaack Bahati Fota
3.E Crymont Nsowela
4.Dawson Emil Mongi
5. Nandula Patience Kombe
6.Anna Kyara Michael
7.Hannelore M Manyanga
8.Rogate Mingo Daniel
9.Joseph Henry Mtenga
10.Lusarago D Mreka
11.Gloria W Mbasha
12.Peter William Lemery
13.Kale sylivia Joseph Utouh
14.Violeth Kiwelu Eliabu
15.Felis Bilauri Mshana
16.Abdallah Musa Msangi
17.Liberatus Stanley Njuu
18.Mary Stella Majula
19.Joseph Francis Kasike
20.Sifael Stephen Tendwa
21.Novatus Aloyce Mlay
22.Beatrice Anamensa Kanza
23.Adinani Kidah Musa
24.Hendrick Fraita Mtui
25.Zakayo Leonard Lema
26. Novaita Edmund Mrosso
27.Moses Ismail Malisa
28.Dotto Roman Selasin
29.Christian Bernard Daat
30.Liberia Onesphony Manyanga
31.Christian Francis Mndeme
32.Frida Frant Maeda
33.Happiness William Kambuga
34.Triphonia Joseph Kinebo
35.Laurentia Isdom Blasius
36.Hilda Dawson Uiso
37.Tunu Mfinanga Asili
38.Marylen Msangeni Elisaria
39.Francis Noel Katawa
40.Irene Abel Mlack
41.Prosper Dions Mushi
42. Fasiruni Shabani Msofe
43. B Roman Kereti
44. Arnold Remy Mrema
45. Damian Roman Chikwa
46. Magreth Johnson Ngomuo
47. Hyasinter Ndewingla Tarimo
48. Salome Edgar Bolly
49. Gelard Honest Kawishe
50. Glory Ephraimu Mbuya
51. Hilgat Laurent Shauri
52. Paul John Mselle
53. Rose Robert Shayo
54. Patric Boniface Ngowi
55. Peter Jerome Kundy
56. Lucy Anselm Nyaki
57. Donald Lyimo Dustan
58. Siana Manasseh Kidin
59. Epiphania Joseph Lyimo
60. Juliana Selestine Mnerey
61. Lilian Humphrey Maleko
62. Raphael Timothy Maembe
63. Beatrice Elineema Lema
64. Lilian Emmanuel Lema
65. Irene Fraterine Lyamungu
66. Victor Stanley Ngowo
67. Jane Temu
68. Emmanuel Elihuruma Mrema
69. David Amani Minja.
70. Ludovick Kavishe.
 
Ukabila ni mbaya sana

Siku mchaga akiwa raisi wa Tanzania,mpaka Majogoo watanyang'anywa Kazi zao za kuwika Alfajiri
 
Duu ukisoma hiyo taarifa huna hamu! Mimi nilikuwa nafikiri adui yangu mkuu ni huyu anayetuchomea makanisa, Philemon Luhanjo na Wabena, kumbe kuna Mchaga pia, ngoja niongeze list ya maadui......................!
 
Habari wadau wa JF

kama mheshimiwa waziri asipochukua hatua stahiki kuondoa mtandao huu

basi idara hii itaendelea kufanya madudu maana wakiharibu wanalindana,

nakumbuka alipoteuliwa mh. Nahodha, alianza kuisafisha idara kwa kuwapukutisha

vigogo ambao walionekana ni miungu watu na wapiga dili, mnakumbuka habari za kamishna Nombo,

yule 'kifutu' aliyekuwa mkuu wa udhibiti wa mipaka,

sijui kama mh. nchimbi ataweza kufanya chochote juu ya hili,

kubwa analopaswa kuanza nalo ni kumalizia kile mh, nahodha alikianza,

yaani kupitia mafaili ya watumishi waliokaa katika vituo vya kazi kwa muda mrefu na kuwahamisha,

na hili linapaswa kufanyika bila ya ushawishi wa kundi hili la vigogo wa makao makuu,

maana wanahamishana wenyewe na watoto wao, na nyie wengine mnakaa vituo vya maporini hadi uzeeke,

mungu akutie nguvu mh, nchimbi ili uwe na ujasili na uwezo wa kulishughulikia hili.

asante
 
hivi wizara imeshindwa vipi kubalance hii taasisi muhimu?
haiwezekani kusema eti hawajui

lakini pia tuwe firm and fair!
hapo kwenye majina kuna makabila mengine mengi tu, japo yamezidiwa kiidadi, wapo wapare, wairaqw, wanyaturu nk.

pia tukubali wachagga wameenda shule tusilalamike sana
 
uchagga + unyakyusa + uhaya = hatari kwa taifa letu
majamaa hayo yote pamoja na kwamba yamepiga sana shule lakini yanapendleana sana na kulindana
MUNGU ibariki TANZANIA
 
Back
Top Bottom