NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Habari nilizosikia juu juu asubuhi ya leo kutoka kwenye vyomo vya habari imegundulika kwamba huko Mbeya wakulima/wafugaji wanawapa Nguruwe na kuku dawa za kuongeza nguvu za wagonjwa wa ukimwi ili wakue haraka.
Madhara yake kwa mlaji ni kifo cha gafla ambacho kinasababishwa na magonjwa ya moyo-Cardiac arrest.
Kwa aliyeipata habari hio naomba uweke hapa kwa ajili ya AFYA za watanzania wote. Kwangu mimi ni habari mbaya na ya kushitusha.