Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,670
- 3,317
Kama kusingekuwa na ugawaji wa hizi dawa za kufubaza makali ya virus ni wazi vizazi vya leo vingekuwa vinausoma UKIMWI kwenye maandiko kama vile leo hii tunavyosoma habari za sulua, tauni na magonjwa mengine yaliyobaki kuwa historia kuwa yaliwahi kutokea siku za nyuma.
Wakati umefika sasa waafrika na sisi tuamke na kuwa suluhu kwa matatizo yetu.
Mm naona huyu mzungu anatupoteza kwa maslahi yake binafsi.
HIV ni halisi tujikinge wandugu.
Wakati umefika sasa waafrika na sisi tuamke na kuwa suluhu kwa matatizo yetu.
Mm naona huyu mzungu anatupoteza kwa maslahi yake binafsi.
HIV ni halisi tujikinge wandugu.