Nguruwe na Kuku wa kisasa wanapewa dawa za wagonjwa wa UKIMWI

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Habari nilizosikia juu juu asubuhi ya leo kutoka kwenye vyomo vya habari imegundulika kwamba huko Mbeya wakulima/wafugaji wanawapa Nguruwe na kuku dawa za kuongeza nguvu za wagonjwa wa ukimwi ili wakue haraka.

Madhara yake kwa mlaji ni kifo cha gafla ambacho kinasababishwa na magonjwa ya moyo-Cardiac arrest.

Kwa aliyeipata habari hio naomba uweke hapa kwa ajili ya AFYA za watanzania wote. Kwangu mimi ni habari mbaya na ya kushitusha.
 
...hehehehehe!
zec iz sapozid to be siriaz kesi
 
very bad news nimeskia redioni wakisoma magazeti na bahati mbaya sikusikia hata gazeti gani wameandika ila watu wawili mkoani mbeya mmoja akiwa mwathirika wa ukimwi wamekiri kufanya hivyo.....

jamani sijui tunaelekea wapi.....
 
Hii TZ hii bora nihamie TEGETA nalima nakufuga hapo ndio nitukuwa nakula kwa amani. Tutauana jamani.
 
tunauana mbona sana tu nguli, ukichunguza sana utagundua kila unachokula hupaswi kula......

huo wa kuhamia tegeta mpango mzuri sana!!!
 
very bad news nimeskia redioni wakisoma magazeti na bahati mbaya sikusikia hata gazeti gani wameandika ila watu wawili mkoani mbeya mmoja akiwa mwathirika wa ukimwi wamekiri kufanya hivyo.....

jamani sijui tunaelekea wapi.....

gazeti la mtanzania.
hii ni hatari sana.

hii ndiyo faida kwa watanzania tulioamua kuishi bila utaratibu.
ukienda duka la dawa unaweza kupata dawa yoyote bila maelezo ya daktari. wananchi wengi wamekuwa wanaathirika sana kwa hili.
 
pesa mbele utu nyuma mkuu!!! tunauana tu!!!
 
Chipsi zilizokaangwa kwa mafuta ya transformer kwa kuku aliyekuzwa kwa ARV! Patamu hapo, hasa ukiongeze kidogo na salad zilizolimwa kwenye bonde la nanihii!!
 
usimalizie mkuu!!! it is very scary!!
 
Chipsi zilizokaangwa kwa mafuta ya transformer kwa kuku aliyekuzwa kwa ARV! Patamu hapo, hasa ukiongeze kidogo na salad zilizolimwa kwenye bonde la nanihii!!

Sasa hapo ndio balaa kabisa, na umesahau hata mihogo pale COCO BEACH
icon10.gif
 
Chipsi zilizokaangwa kwa mafuta ya transformer kwa kuku aliyekuzwa kwa ARV! Patamu hapo, hasa ukiongeze kidogo na salad zilizolimwa kwenye bonde la nanihii!!

Umenimaliza sana mbavu zangu leo, mh kaaazi kweli kweli!
 
I do no kama Bongo imeshaingia hiyo.
Lakini ze better tings ni serikali kupiga kabisa marufuku utumiaji wa ARVs, maana kwa hali hii sijui Tanzania after 10 years itakuwa where...
 
Jana nilimla mnyama kwa fujo kweli, kilo mbili peke yangu,duh basi miili yetu itakuwa imejaza ARVs kibao!! Sasa kwanini ngoma inapukutisha hivo?
 
Habari nilizosikia juu juu asubuhi ya leo kutoka kwenye vyomo vya habari imegundulika kwamba huko Mbeya wakulima/wafugaji wanawapa Nguruwe na kuku dawa za kuongeza nguvu za wagonjwa wa ukimwi ili wakue haraka.

Madhara yake kwa mlaji ni kifo cha gafla ambacho kinasababishwa na magonjwa ya moyo-Cardiac arrest.

Kwa aliyeipata habari hio naomba uweke hapa kwa ajili ya AFYA za watanzania wote. Kwangu mimi ni habari mbaya na ya kushitusha.

Ni nilichokua najua kuku wa nyama na mayai wanapewa dawa za uzazi wa majira ili kukua haraka badala ya kupata gharama za kununua chakula special chenye dagaa wengi na hupewa dawa za homa ya matumbo yaani Chlorofenical, ampicilin na tetracycline kwa ajili ya magonjwa sasa hii ya ARV nawasifu kwa uvumbuzi mwingine ila watatumaliza sana.

Mfano ukila chipsi ya mafuta ya transfoma, kuku wa ARV na zidoge vya uzazi wa mpango kazi ipo au chipsi ya mafuta ya transfoma na mayai ya chlorofenical.

Nilifanya utafiti mdogo sana kujua kama kuku wa mayai akipewa dawa mayai yanaruhusiwa kula? Daktari wa wanyama akasema hairuhusiwi kwa siku kumi. Nilipoongea na wafugaji wa kuku wa mayai jirani zangu wote walinijibu kwamba ni hasara kubwa kutupa mayai na wakanifukuza na maswali yangu na kuniuliza kama kuna mtu kanituma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom