Nguruwe hajaingia joto, nifanyeje?

MWANAWIMA

Senior Member
Nov 18, 2014
110
70
Ninaguruwe 2 walizaliwa mwezi April 2016 , wanazaidi ya mwaka sasa lakini hawaingii joto ili niwapandshe, naomnba ushauri wako nifanyeje, nimejaribu kuwapa chumvi naona bado tu, msaada wako ni wa mhimu, natanguliza shukrani.
 
1. Sema unawalisha chakula gani? Unawapa vyakula vya ziada kama mashudu, madini (pig mix), vitamins, nk? Kizazi cha mguruwe kinahitaji protin na madini na vitamins ili kukomaq na kuzalisha mayai. Mayai yanapokomaa ndio yanasababisha joto
2. Kama kweli umawalisha vyema kama nilivyoeleza juu inaezekana wakawa na joto la kimya (silent heat) ambapo hawsonyeshi dalili za joto. Lakini hii ni nadra sana. Kama ni silent heat dume linapaswa liwe pamoja na jike kwa kuwa lina uwezo wa kugundua kuwa jike liko katika joto.
 
Nguruwe wakiwa na heat ni danger sana aisee
Wasipopata dume wanaweza kukuua
 
Muone mtaalam wa mifugo wa kijiji chako, ikibidi atawachoma sindano ( heat sychronizer) aje kuwaona,, huwenda lishe sio nzuri, zingatia mlo kamili na uwape kwa kipimo na kwa muda maalum wa asubuhi mchana na jioni
 
Ninaguruwe 2 walizaliwa mwezi April 2016 , wanazaidi ya mwaka sasa lakini hawaingii joto ili niwapandshe, naomnba ushauri wako nifanyeje, nimejaribu kuwapa chumvi naona bado tu, msaada wako ni wa mhimu, natanguliza shukrani.
Wamwagie Maji ya moto.
 
Yaani huku, hapana aise, JF NI MWISHO WA MATATIZO, NACHEKA TU KAMA CHIZI HAPA
 
Back
Top Bottom