Nguruwe azaliwa akiwa na kichwa cha binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguruwe azaliwa akiwa na kichwa cha binadamu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, Sep 4, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nimesikia habari magazetini kupitia tbc1 kuwa nguruwe amezaliwa akiwa na kichwa cha binadamu..source habari leo
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ni jana tu tumesikia mtu kajifungua jiwe baada ya mimba ya miezi 11..
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,356
  Trophy Points: 280
  Wyne Rooney
   
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Very soon Parapanda litalia. Kaeni mkao wa kula
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mmmmhh!! Na nimesikia muda c mrefu ya kwmb ni kule Bunda na madaktari wameshangazwa na hii wakati wa2 hapo palipo tukio wanasema hawajawahi kuona maaajabu km yale. Mi nasema maajabu bado yatakuja. Cku tu mmesikia ng'ombe kazaa binadamu na ndipo 2kumbuke maandiko yasemavyo. SIKU SI NYINGI ATARUDI MWANA WA ADAM!
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nilidhani amezaliwa na kuran ubavuni
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  case kama hizo huwa zinasababishwa na

  1. partial/poor development ya kiumbe huko tumboni

  2. transplant au crossbreeding

  kwenye masuala ya utafiti wa mbegu bora za wanyama, ni kawaida kupata questionable breeds or even worse than the pure breed. lakini kwa kuwa ni utafiti basi huendelea na mazoezi yao hadi wanapopata matokeo ya kuridhisha yaliyo salama kijamii, kiafya na kimazingira.

  kama huyo nguruwe hakuwa kwenye majaribio yaliyo rasmi, inawezekana pia kuwa kuna binadamu alimpanda! tabia ya binadamu kupanda wanyama wa kufugwa na ata wanyama mwitu inaelekea kuwa kama ugonjwa sasa, ziko shuhuda nyingi sana za namna hiyo na kuna wanaojisifu kwa idadi kubwa ya wanyama tofautitofauti waliokwishawapanda!

  niliwahi kuona mtu mmoja raia wa zimbabwe akijisifu kuwa kishafanya mapenzi na mbwa, nguruwe, mbuzi na kondoo na alikuwa mbioni kuwapanda ng'ombe na pundwa ila anapata shida kutokana na ukubwa wao na ukali wao!

  ndo dunia yetu ilikofika huko.

  wapendwa, shikeni sana mlivyo navyo, asije yule mwovu akazitwaa taji zenu

  mbarikiwe sana

  2.
  walakini kwa dakika moja, kufumba na kufumbua,
  parapanda itakapolia, wafu watafufuliwa,
  wasiwe na uharibifu, na sisi tutabadilika!

  kiitikio
  usijisifu, kwa ajli ya kesho,
  kwa maana hujui,
  yatakayotokea, kwa siku moja, lakiniiii

  lakini mimi najua, Mtetetezi wangu yu hai,
  na ya kuwa hatimaye, atasimama juu ya nchi,
  na baada ya ngozi yangu, kuharibiwa hivi,
  lakini pasipokuwa na mwilli wangu, nitamuona Mungu,
  nami nitamuona, mimi nafsi yangu, na macho yangu yatamtzama,
  wala si mwingine, ni Yesu! X2

  shurani za pekee:
  kwaya ya Chemichemi, Unga Ltd, arusha.
  wimbo: WALAKINI HAMJUI
  Albam: KUNA CHEMCHEM
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  The world is over!!!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  du amakweli tufunge na tuome sana mana nadhani siku za mwisho zmekaribia
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Au ni kampeni ya kuwatisha watu waache kumla.
   
 11. m

  mjoli New Member

  #11
  Sep 4, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shika adabu yako
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  safi sana kumbe ilikuwa ni utafiti basi waendelee hivyo hivyo mwisho wa siku watakuja kucrossbreed nguruwe halafu atokee kiboko wameanza na kichwa cha mtu baadaye utasikia kichwa cha kiboko..
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  This is not funny!
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Now seriously im going back to my god &quot;lol parapanda ndo linaandaliwa kupulizwa khaaaaa
   
 15. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Dunia ya zamani iliangamizwa kulikuwa na dhambu za kufa mtu sasa nyie mtu kazaa jiwe cjui nguruwe kaza mtu mnasema palapanda litalia hayo ni mambo ya ushirikina mdogo tu msiogope. Ngojeni siku mtoto akizaliwa leo kesho anadai mke aaah hapo sawa
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  watu walivyo hojiwa kule musoma wamedai kwa mtu kuzaa kinyonga au mdudu mwingine si vitu vigeni..
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  umegundua eehh!....Lakini afadhali umrudie mwenyezi mungu maana ulikuwa umemtenga mno..lol
   
 18. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #18
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big Up
   
 19. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hizo habari zenu za uongo kila siku zinatuchosha Mara Mwanamke kazaa Jiwe, Mbuzi anamaandishi ya Quan, Nguruwe kazaa Nguruwe mwenye kichwa cha Binaadamu. Huo wote ni uzushi usisokuwa na Ushahidi wowote. Hakuna kitu kama hicho cha kusema mnyama anaweza kufanya mbegu za binaadamu kumpa mimba. Uongo na unafiki. Siamini chochote mnachokizungumzia hapa zaidi ya kusukuma siku ipite, mwisho wake mtakuja na uongo wa kusema Nyoka kazaa na Binaadamu
   
 20. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  hili gazeti ni lini litaanza kuja na ajenda za kitaifa na utekelezaji wa kazi za serikali kila siku

  cha kushangaza habari kama hii ndo inakua ukurasa wa mbele kama jana 'mwanamke ajifungua jiwe'

  shame on you Mhariri Habari Leo
   
Loading...