Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Huyo aliyemharamisha nguruwe walikuwa na ugomvi binafsi...labda wa kugombea mpaka nani ajuaye! Ila katika viumbe wote alioumba Mungu basi kitimoto kasanifiwa hasa!Katika Uislam ,mwanamke anaruhusiwa kuchinja nawala c jambo la Ajabu!
ila nguruwe ni haramu nawala hachinjwi.