Nguruwe anatakiwa achinjwe na nani?

Nguruwe anatakiwa achinjwe na nani?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wakuu.

Binafsi ni mtumiaji mzuri wa 'kitimoto' either iwe rojo/roast , kavu au ya kuchoma ikiwa na mbogamboga/kachumbari zake na ugali au ndizi. Vyovyote vile fresh tu.

Huwa nakula bila kujua nani mchinjaji na sijawahi kuona nguruwe akichinjwa.

Nimeona mara kadhaa kuku, mbuzi, ng'ombe, kondoo wakichinjwa na watu ambao ni Waislamu. Japo sijui sababu yake.

Je 'mdudu' anatakiwa achinjwe na nani ili asiwe kafiri?

2215498_images24.jpeg
 
Huo ni utamaduni tu waliojiwekea wao,siku hizi kwenye viwanda vya kusindika nyama wanawake nao ni wachinjaji wazuri, Mimi nikikuta nyama ya kiumbe yeyote nakula tu as long as inafaa kuliwa, kwamba nani alichinja na kwa nini hiyo nawaachia wenye miiko yao!
 
Sasa kwani ni nani wenye dhamana ya kuchinja na waliokabidhiwa kisu zaidi ya Masheikh?

Hata sala ya kuchinja na kuelekeza mnyama kibla wanajua wao.
 
Wale tunaowaita kuchinja kuku,mbuzi ndio wachinje na hizo kitimoto
 
hakuna mahala kwenye uislam umekataza mwanamke kuchinja,ili mradi achinje kiutaratibu...alafu nmekaa sehem wanakouza nguruwe,huwa hawachinji wanaua!!!sijui haya mambo mnaambiwaga na nan
Huo ni utamaduni tu waliojiwekea wao,siku hizi kwenye viwanda vya kusindika nyama wanawake nao ni wachinjaji wazuri, Mimi nikikuta nyama ya kiumbe yeyote nakula tu as long as inafaa kuliwa, kwamba nani alichinja na kwa nini hiyo nawaachia wenye miiko yao!
 
Huo ni utamaduni tu waliojiwekea wao,siku hizi kwenye viwanda vya kusindika nyama wanawake nao ni wachinjaji wazuri, Mimi nikikuta nyama ya kiumbe yeyote nakula tu as long as inafaa kuliwa, kwamba nani alichinja na kwa nini hiyo nawaachia wenye miiko yao!
Katika Uislam ,mwanamke anaruhusiwa kuchinja nawala c jambo la Ajabu!
ila nguruwe ni haramu nawala hachinjwi.
 
hakuna mahala kwenye uislam umekataza mwanamke kuchinja,ili mradi achinje kiutaratibu...alafu nmekaa sehem wanakouza nguruwe,huwa hawachinji wanaua!!!sijui haya mambo mnaambiwaga na nan
Anauliwaje?🐷
 
Mungu aliruhusu padri au mchungaji kuchinja nguruwe shehe hajaruhusiwa
 
Tangu lini nguruwe anachinjwa? Nguruwe huku kwetu anakabwa ili asipate pumzi mpaka afe ili damu isitoke na kuondoka na utamu. Kisha anamwagiwa maji moto ili kumchuna. Baadae ndio kichwa kinaondolewa na mambo mengine yanaendelea. Nguruwe anayeuawa kwa kuzibwa pumzi nyama yake inaongeza nguvu za kiume
 
hakuna mahala kwenye uislam umekataza mwanamke kuchinja,ili mradi achinje kiutaratibu...alafu nmekaa sehem wanakouza nguruwe,huwa hawachinji wanaua!!!sijui haya mambo mnaambiwaga na nan
Kumbe mnyama akichinjwa hafi? Kweli akili zako hazina akili!
 
Back
Top Bottom