Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,595
- 18,415
Anakula hadi nyoka na sumu yake bila kudhurika sembuse pilipili.Nguruwe anakula chochote hata banda lake akiwa na njaa analitafuna, sidhani kama pilipili inaweza kumuua