Mie nimetinga pensi ya rangi ya jeshi la marekani na nipo hapa nyegezi car wash mkabala na bwalo la jeshi njoo unikamate nakusubiria.Huyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
uje ujichanganye kwangu nikukamue kinyesi hiko
Ukiona mtu anaanza sentensi na neno " Mbona" ujue ana tatizo kubwa kwenye ubongo wake ( defect in reasoning) na yeye hajijui. Changamoto za kiulinzi za Kila nchi zinatofaitiana. Sheria za nchi zinatofaitiana. Tanzania tumepakana na nchi nyingi zenye political instability.
Ukiruhusu raia kutumia VIFAA vya Jeshi lolote duniani ndani ya jamhuri ya muungano utaleta maafa. Swali ni kwanini nguo za majeshi tuu?
Kwa nini usivae nguo za maiti ( sanda)?
Kwa nini usivae nguo za wafungwa wa kunyongwa ( condemn)?
Kwa nini usivae nguo za wagonjwa waliolazwa hospitali?
Kwa nini usivae uniform za manesi ? Mbona za Jeshi Kuna nini?
Africa ina watu wapumbavu sana nakubaliana na wewewaafrika ni watu wapumbavu sana
WatakufiraNatamani siku mtu wakujiita mjeda ajichanganye kwangu.
Hunatu akili kina kitenge wameruhusiwa ni kazi yao in short kupiga picha pale kivukoni ni kosa la jinaiHuku wanasheria nyingi za hovyo ni kwasababu wanajihisi wapo insecure.
Kuna jamaa nilimuona pale feli akijipiga selfie, kumbe kulikuwa na mjeshi yuko juu ya mti anaangalia watu.
Yule mjeshi akashuka akamuita yule jamaa akampigisha magoti mbele za watu, mjeshi akawa anasikika akisema "kwanini unapiga picha kwenye maeneo ya ikulu"
Jamaa kwa upole akajibu "samahani najua ikulu ipo kule juu sikujua kuwa hadi huku haturuhusiwi kupiga picha"
Mjeshi akachukua simu ya jamaa akafuta zile picha akamrejeshea, baada ya pale nikamuona yuke mjeshi anaenda kupanda juu ya mti tena kwa ajili ya kuchunguza watu.
Nilishangaa sana nikajiuliza maswali mengi, mbona kina Maulid Kitenge wanaenda hafi kwenye vibaraza vya ikulu ya Marekani na kupiga picha?
Na kuna muda unakuta anafanya mahojiano na wadau waliopo eneo hilo la ikulu na hakuna tatizo?
Sisi tumeficha nini pale ikulu kiasi kwamba kuwe na sheria ngumu hivyo?
Hujui kitu wewe ni bora ukauliza, unajua sheria ya the white house tour ya 2015 kuhusu kupiga picha?Hunatu akili kina kitenge wameruhusiwa ni kazi yao in short kupiga picha pale kivukoni ni kosa la jinai
Wanajeshi wa TZ yani wana ubabe wa kiwaki sana. Sasa mfano kumkamata mtu ukamwambia ajiviringishe kwenye tope unafurahia kitu ganiSheria inakataza kuvaa sare za jeshi au polisi kama wewe sio muhusika katika hizo kazi. Japo sheria haijaweka wazi ni sare za jeshi lipi au polisi wa wapi. Kwa mantiki hiyo tuna-assume ni sare za jeshi lolote lile. Hata hivyo, mwanajeshi hana mamlaka ya kukuwajibisha kisheria. Ila anao wajibu wa kukupeleka kituo cha polisi kwaajili ya taratibu nyingine za kisheria. Wanajeshi wengi hasa Afrika hujisikia fahari kuonyesha ubabe wao mbele ya raia na hujihisi imara zaidi wanapoogopeka. Ukitaka kuonekana una nguvu kuliko akili unaishia kuonekana mjinga tu. Weledi unahitajika zaidi.
Kwa Sheria zetu raia hatakiwi kuvaa nguo zinazofanana na nguo za majeshi yetu.Habari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Sheria za mwaka 1947,kwnini hatujifunzi uSA,kule sio kwamba TU mtu raia anavaa combat,hata siraha unaweza kumiliki,Sheria ya ulinzi inakataza raia yoyote kuvaa Mavazi yanayofanana na Jeshi lolote la Tanzania kwa rangi ama mshono. Kadhalila inakataza askari wa Jeshi A kuvaa au kufananisha uniform za Jeshi B bila kibali. Ukienda dukani au kwenye mitumba ukimkuta nguo yoyote inayofanana na Jeshi lolote Tanzania ,achana nayo tafuta nyingine inayoendana na wewe. Lengo la sheria hii ni kuthibiti matumizi mabaya ya uniform ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia au kujitambulisha kama ni wahusika wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa watu wasiojua na kufanya uhalifu.
Ewe msanii uwe wa maigizo au wa nyimbo epuka kuvaa nguo zinazofanana na za majeshi yetu
Ewe mwanasiasa achana kabisa na mashono ya majeshi au kushona vitambaa vinavyofanana na rangi za nguo za majeshi
Ewe mmiliki WA kampuni binafsi ya ulinzi hakikisha uniform za wafanyakazi wako hazifanani na za majeshi yaliyoamishwa na sheria ya nchi
Mbona unangangania kuvaa za majeshi? Mbona usivae za wafungwa, za mortuary attendant kama issue ni uniform? Kila nchi Ina sheria zake na tamaduni zake na ustaarabu wake. Kusema kama Marekani na sisi tuige yapo mabaya Sana ya Marekani na hayo tuyaige. Tanzania tumezungukwa na nchi nyingi zenye political instability hivyo kuruhusu VIFAA vya Jeshi lolote kutumia au kuvaliwa mitaani na raia kina madhara makubwa Sana kiusalamaSheria za mwaka 1947,kwnini hatujifunzi uSA,kule sio kwamba TU mtu raia anavaa combat,hata siraha unaweza kumiliki,
Waharifu wa siku Hz,sio lazima combat,unapiga kimtandao,escrow,meremeta,Richmond waharifu waliiba kwa peni,
Haujajaa tu kwenye 18 utapakwa KY nakuhakikishiaHuyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Wajeda wa TZ wanapenda sana sifa hasa mbele za watu, ampe za chembe tu hakuna kingine.
Na wasiwasi kama uko sawa, hivi mavazi ya jeshi la china au marekani wewe yana kuhusu niniiHuyo kibaka alovaa kofia ya jeshi alipaswa kuvuliwa nguo zote abaki uchi, watanzania mmekuwa viburi sana, vibaka kama hao nikiwakuta sehemu yoyote nawatia mbata nawavua nguo zote
Ulitaka nijite nani?Alafu unajiita mjanja wa kijiji
Wajeda wetu mchosho sana.Wanaacha kupambana na wanaotaka kuuza bandari,wao wanapambana na wananchi wanyonge kisa kuvaa nguo zenye rangi ya jeshi,sasa hapo si kumuelekeza tu mtu kiustaarabu?!!!.Habari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Hayo manguo na makofia ya majeshi ya Nchi za Nje yanauuzwa kwenye nguo za Mitumba na yako mengi sana mbona! Huyo mjeda labda yeye ndiyo alikua anataka kumpora Kijana kofia yake!!Habari za muda huu Wana Jf..
Leo katika pitapita zangu mitaa ya "Daslamu" nmekutana na tukio ambalo limenifikirisha sana
Ni hivi nmekuta kijana kavaa kofia yenye rangi za Jeshi,kakamatwa na mtu aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mwanajeshi",kofia aliyeivaa kijana ni kweli Ina rangi za Jeshi lakini ni Jeshi la china,Ina alama ya nyota hapa mbele, na maneno haya "Chieng Du, aviation school" huku pembeni ikiwa na maneno ya kichina.
Sasa utata huyu bwana aliyejitambulisha kwamba yeye ni "mjeda" akawa anataka kumuweka chini ya ulinzi kijana,kijana akadai id ya huyu mjeda apo ndo zogo likaanza,mjeda ID hatoi,kijana hakubali kuwa chini ya ulinzi..
Sasa apa wajuzi wa Mambo mnisaidie je Kuna Sheria hio ya "wajeda" kumvua mtu vazi na kuchukua Sheria mkononi?na Kama haipo ikitokea mtu anapaswa aende wapi kupata haki yake??
Achaa akili za kiloko kama za police wa zamani walikua hawataki tupaki gari zetu aina ya BMW karibu na Bank, kisa tu zinakimbia sana,na wahalifu wanazitumia kuibia ma Bank! Suburini mpaka hapo Mtu atakapofanya uhalifu ndiyo umchukulie hatua!!Awatakiwi wasio raia kuyavaa sababu wengine wanafanyia uhalifu