frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 619
- 806
Leo wadau wangu wa JF nimebaki na kupigwa butwaa baada ya kusikia principal akisema wanaume chuoni tunavaa nguo za kuvutia wanawake mmh sasa hata sielewi hizo ni nguo za aina gani.
Kama mdau wangu unazijua hizo nguo naomba niambie hapo chini niwaelimishe na washkaji zangu.
Kama mdau wangu unazijua hizo nguo naomba niambie hapo chini niwaelimishe na washkaji zangu.