nguo ya ndani

nguo ya ndani

Hili swali linanikumbusha quiz fulani nilipewa na rafiki yangu:
suppose umeenda desert beach kuogelea na ukaamua kuogelea completely naked
Then ghafla panakuja a very large number of people (very unusual on a desert beach)
mmoja anachukua nguo zako zote na anakimbia nazo.
then wanapiga kengele kuomba watu wote watoke ndani ya maji
As you run, what would you cover? Kifua? mbele? nyuma? #Dilema
CC: Kongosho

Answer:
ıuɐu ɐʎʌ ıu ɐɐɟıʌ ınɾısɐʍ 'ɐɹns ɐɥɔıɟıʞn ɐıqɯıʞ

Last edited by a moderator:

Hakika hijabu yako ya kijani ni kiboko mashaallah nisi kuhusudu !!
Nawsilisha latinos quote hii " When the waves are gone, You notice who was swimming naked "
furahiya weekend.
 
Makuubwa! chup ni muhimu kwa wote laikni zaid kwa wanawake
 
hahahaha jf ni zaidi ama kweli chupi inategemea dada zetu ni muhimu sana maana wanaweza kulowa muda wowote na inakuwa aibu kwao
 
My friends used to that in high school

Tukishikwa na walimu tumetoroka, wanakimbia huku wamenyanyua sketi kufunika nyuso zao

Hili swali linanikumbusha quiz fulani nilipewa na rafiki yangu:
suppose umeenda desert beach kuogelea na ukaamua kuogelea completely naked
Then ghafla panakuja a very large number of people (very unusual on a desert beach)
mmoja anachukua nguo zako zote na anakimbia nazo.
then wanapiga kengele kuomba watu wote watoke ndani ya maji
As you run, what would you cover? Kifua? mbele? nyuma? #Dilema
CC: Kongosho

Answer:
ıuɐu ɐʎʌ ıu ɐɐɟıʌ ınɾısɐʍ 'ɐɹns ɐɥɔıɟıʞn ɐıqɯıʞ

My friends used to that in high school

Tukishikwa na walimu tumetoroka, wanakimbia huku wamenyanyua sketi kufunika nyuso zao
hahahahaha, naona shule yenu mlikua watundu!
 
Yaani, ilikuwa balaa
Na wasichana wakipinda wanapinda kweli

Imagine sometimes mwalimu akitaka kuwachapa hasa maeneo ya bwenini, wanakimbia na suti zao za kuzaliwa, inabidi mwalimu akimbie yeye

Back
Top Bottom