huu sasa ni uchochezi![/QUOTE]
Hakika ni UCHOCHEZI wa KIFAMILIA na INTELIJENSIA itatakiwa kufuatilia chanzo cha uchochozi huu!! Ukizingatia katika familia nyingine uchochezi huu utavuruga ratiba ya nani avae KIGUO CHA NDANI hiki siku ya leo!!!!
Sketi alovaa anainyanyua yote kufuni top half of the body hadi kichwa na kuacha macho tu, kalio nje, anaifanya kama mtandio dizaini
Mmmh! ningekua mwalimu huko mbona kazi yangu ingekuwa kufukuza wanafunzi tu!!
Ha ha ha ha, sasa unafukuza hata kama hawana kosa?