nguo ya ndani

nguo ya ndani

...kweli leo ijumaa,Mungu tusaidie wajawako...

Hivi kweli kidume rijali na kengele zake aamue tu kuvaa hiyo bidhaa hapo chini eti kwa sababu hakuna yenye kumfaa...hivi kweli jamani kweliiii

Lady-s-G-String-KWString0009-.jpg
 
naomba usiniharibie siku,nimetukana nini!nimemvunjia nani heshima!report kwa mode

"Hii itakufaa? maana ndiyo pekee iliyobakia kabati", fikiria hivyo ndivyo mwandani wako anakuambia.
Sasa sijui hapo korodani zako zitapumulia wapi kama sio kujitakia utasa tu.

hot-new-lingerie-butterfly-lady-g-string.jpg
 
Huyu kawaza badala ya kufikiria...ni kama mtu aliyekurupushwa usingizini

Yaani hata ukichunguza pande zote nne za mawazo, huyu jamaa hata sielewi kama anazo za kumtosha. Pia sielewi anataka apewe majibu gani ili yamsaidie nini.
 
Mmmmh ngoja nikae pembeni make leo ndio nimekuwa Lifted baada ya kulamba Ban
 
Subiri subiri giza liingie ndiyo uanze kupost thread za muundo huu!Jamani hata bado hatujafunga ofisi kuianza weekend nyie mmeishaanza!!
 
Last edited by a moderator:
Kama ipo moja,wapangiane tu masaa ya kuivaa
 
"Hii itakufaa? maana ndiyo pekee iliyobakia kabati", fikiria hivyo ndivyo mwandani wako anakuambia.
Sasa sijui hapo korodani zako zitapumulia wapi kama sio kujitakia utasa tu.

hot-new-lingerie-butterfly-lady-g-string.jpg
hahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaa jf bwana never boring
 
Back
Top Bottom