Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx

hata kama ni daily kwani kuna kiwanda cha girsi jamani?
Mnaogopa bure afterall si unazo nyingi, haijirudii mara mbili kwa wiki.

Chupi huwaliwa miezi 6 hadi 8 unatupa, si lazima uifanyie hepi besi dei.

kongosho hapo ulipo kuna garage ya mbavu? Hah!eti besdei
 
si unajua tena
blood red ni nyekundu ilikolea
na blood green ni kijani iliyokolea



Yaani natamani nione maana imagination tu imeniua..... sijui umewaza nini Kongosho....lol... Vipi inakua na stipes?
 
Mimi sidhani mwanaume ambaye ana akili zake kamili anajali mwanamke amevaa chupi rangi gani.

Inabidi tuwape pole wanaume wenye mawazo kama hayo, yakuchunguza rangi za chupi :biggrin:

kwahiyo we ukivaa NYEUSI TII unajiona mjanja saaaaana.sio?
 
Hahaha! mlifunguka mnanifurahisha. me napenda bikini jaman, afu iv kuvaa hii kitu dhambi? ulokole mwingine bana mwishoe ndoa zinawashinda wanaleta lawama na stres zao humu teh.
 
Mimi sina hayo matatizo kwakuwa za mpenzi wangu nanunua mimi mwenyewe so i can go for my favourite colors and designs.
 
..hayo marangi mengine me sijui,mara nyingi nadindisha nkiona kitu yt,tena me sio chupi huwa nanyegeka hata akiwa kajifunika na mavazi meupe,ndo mana tukiwa twataka kusuruhisha jambo ananijia na mavazi meupe nam-barcelona nakusahau shida zangu..
 
Back
Top Bottom