Nguo ya juu huficha mengi

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868

huyu ni katibu wa baraza la mawaziri Italia bikini nje nje akitia saini baadhi ya karatasi huu utamaduni ungelikuwa hapa kwetu ni kiongozi gani ungelitamani ainame na kabikini kama mama huyu?twende zetu wanajamvi.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1395917321.507415.jpg
    71 KB · Views: 1,346
Kizuri kula na nduguyo, kabanga ebu mita huku usafishe macho
 
Last edited by a moderator:
samahani lakini,yule naibu waziri wa katiba na sheria,alafu waziri kivuli wa aridhi a.k.a mbunge wa kawe,mbunge mtarajiwa wa bunda,.....
 
Kwa nini yuko mwanamke peke yake hapo? Huu ni unyanyasaji wa kijinsia. Nahisi hata mpigaji picha atakuwa Mwanamume!

 
Hivi hata kuvaa Thong nao ni utamaduni ?
 

huyu ni katibu wa baraza la mawaziri Italia bikini nje nje akitia saini baadhi ya karatasi huu utamaduni ungelikuwa hapa kwetu ni kiongozi gani ungelitamani ainame na kabikini kama mama huyu?twende zetu wanajamvi.

is this foto not psed..
 
Mkuu Safari,

Huoni kuwa hapo ni ULAYA? Una uhakika kuwa Mwanamke ni MMOJA? Unaweza kushangaa sasa huyo Mama ana GIRL FRIEND au MKE WAKE na hao Madume unawaona, Wana Ma BOYFRIEND wao au WAUME ZAO.

Uwe Mwangalifu sana dunia ya leo. Haya, ELLEN huyoo hapo chini na Mwaka huu ndiyo aliongoza Oscar ya USA, akiwa na Mke wake.


Kwa nini yuko mwanamke peke yake hapo? Huu ni unyanyasaji wa kijinsia. Nahisi hata mpigaji picha atakuwa Mwanamume!
 

Ceteris paribus ............. that is ........ salimia Nkumba he tried to put up a show and the stage fell with him today!
 
zamani tulikua tunafunua chupi tuone ----,siku hizi mtu unafunua ---- uone chupi...
 



ah... huyu mzee balaa....!
 
Mie ningependa niwaone hawa wafuatao:
1. Ester Bulayo
2. Shyrose Bhanji
3. Mama Rwak....

"Nlikuwepo":bolt:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…