linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Huku ni kutishana sasa. Waoga endeleeni kuogopa
Waache watishane na kuwapa soko akina fulani...kwa woga huu watu watawakimbilia kwa wingi
Huku ni kutishana sasa. Waoga endeleeni kuogopa
Jf bhana! Mkuu kama utakuwa free niambie tukatembee sehemu flani mida ya kuanzia saa kumi na mbili jioni halafu uje ulete mrejesho hapa! Maana naona unajiamin kupitiliza
Mkuu connection na Madhabahu yakishetani haiangalii ni Mwanamke au mwanaume inategemea mwenye hiyo madhabahu anakusudia nini mimi niliwahi kuwa connected... na Roho za kuzimu kupitai jina nililotumia kusajili Line ya Simu cz sikutumia jina langu nilitaabika kwelikweli...hadi nakuja kugundua Nilishapigika sana...ndg acha kabisa kuna watu wameSacfrice kwa SHETANI na wanamtumikia at the maximum ..take care
Very good lesso kwakweli. Asante sanaMkuu its loong Story ndg yangu...nitasema kwa ufupi tu maana hapa simahali pake....niliwahi kuwa na Bifu na jamaa flan sikumjua vzr kumbe yule jamaa alikuwa mchawi....B4 sijajua habari za MUNGU deeply japo nilikuwa Mkristo lkn sikuwa napata mafundisho yakutosha yanayohusu Mambo ya kiroho nilikuwa naishi maisha yakimtaani zaidi japo nilikuwa Mkristo sasa wachawi wanajua mambo mengine sana....Kwenye ulimwengu wa roho so kupitia mawasiliano ya SIMU akafanya anavyojua akanitengenezea Chuma Ulete kupitia Sauti yangu....Siku ikatokea nikaenda kununua Line ya Simu nikasajili kwa jina ambalo hata Leo ukiniiliza nilipolitoa sina Majibu yake Baada yapo Maisha yalikuwa yanaDrop.....kila siku hali ya Maisha ikawa inashuka bila kujua ikafika mahari nikachakaa kabisa....Ikafika kwakuwa nilikuwa mchanga kiroho nikajichanganya na Waganga asee huko ndio niliharibu kabisa Ikabidi mke wangu akomae kunipeleka Kanisani baada yakuhudhulia mafundisho na Maombi ndio yakaja kuibuka...Unajua Mapepo yakibanwa yanaongea kiila kitu mpaka aliemtuma baada ya hapo nikaambiwa ili niwe Salama khs Uchumi lazima nivunje Line kiukweli baada ya hapo Maisha yamerudi normal nimekwambia kifupi tu bt ni Story ndefu