nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,976
- 14,826
Sikuamini macho yangu kumbe tuko kwenye jamii hatari kiasi namna hii?
Mfanyabiashara mwenye uwezo anafanya mambo ya shirki(ushirikina) juu ya nguo za ndani za kike.
Ni nguo mpya kabisa zinafanyiwa mambo usiku wa manane ili baadae mvaaji akiwa katika siku zake basi anakuwa connected na madhabahu yake ikiwa na maana kwa baadae mimba kuharibika, kuwa na kajini mahaba,kukosa mume.n.k. (pia kuangamia=kafara)
Kumbe nguo ya ndani ni hatari sana,kama ntu akiichukua huweza kukutengeza.
SASA HUYU MFANYABIASHARA HUZIWAHI KABLA,NI TEKNOLOJIA MPYA KATIKA UCHAWI ''PRE AMBLE.......''