donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Karibu ndugu yangu Don Clericuzio
Karibu ndugu yangu Don Clericuzio View attachment 1681442
MhhKaribu ndugu yangu Don Clericuzio View attachment 1681442
Sishibi, kula weweSasa mwanaume unakula ako ka ugali unashiba. [emoji848][emoji848][emoji848]
Hupendelei Dona mkuu?Huyo ugali n dona? Au macho yangu yapo likizo?
aiseee hivi kuna binadamu mnakula utumbo wa kuku??Huo utumbo wa kuku ungeunga nazi ungekuwa mzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Dr of eatology.
Shukrani mkuu
😅😅Daah jf kuna watu wanadharau nyuma ya keyboard eti utumbo nile mimi nyama ale nani[emoji23][emoji23]
Duuuuh aseeeeh siwezi kabisaaa dona hata iweje yaan.Hupendelei Dona mkuu?
Upo mbona, uswazi hakitupwi kituKweli hakitupwi kitu, ila mimi hizi mambo zilinishnda kwakweli .... kuna sehemu niliona wanauza hadi utumbo wa nguruwe