Ngumu kuwaelewa wasichana...

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Marayamwisho kunipigia simu aliniuliza nilipo, nikamwambia nipo napata dinner hotelin, akakasirika eti kwanin sikumkaribisha ajiunge nami, jana tena kanipigia na kuniuliza nafanyann, nikamwambia naenda kuoga na kumkaribisha aungane namimi, lakini amechukia tena.....
 
Mwenyewe ndio mana nakutafuta unambie nini kilitokea manake sijaelewa kabisaaa!
we acha tu...nimefika huko nikawa na mambo lukuki, kwanza vumbi la huko lilinisababishia mafua makali sana!!!
 
kupata dinner hotelini pesa inatumika lakini kuoga sidhani kama pesa ilitumika labda kwa bafu za kulipia. namaanisha huenda unathamani kwasababu ya vijichenge utumiavyo
 
kupata dinner hotelini pesa inatumika lakini kuoga sidhani kama pesa ilitumika labda kwa bafu za kulipia. namaanisha huenda unathamani kwasababu ya vijichenge utumiavyo

Inaezekana ikawa kweli mkuu, ngoja nichanganye na zangu kidogo.
 
asante sana...namshukuru mungu nipo salama! Nilitaka unianzishie sredi kama ile uliyomwanzishia!!!!
Ha ha ha!... Nimechelewa kupata taarifa zako, wewe mwenyewe wajua zingenifikia mapema ningekuanzishia...afu mgonjwa wangu bado afya haijakuwa nzuri, ongezeni kumwombea..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom