Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

Huwezi zuia mtu kuelezea hisia zake sio kosa, Ila lamsingi ni wewe dada kujua unataka kazi ziendelee au mapenz.
Nimekuwa na marafiki WA kiume wawili nilisoma nao chuo yapita miaka kumi sasa mmoja alinitongoza Ila mwisho wa siku tukaishia kuwa marafiki na zaidi ya Kaka had sasa ..Hadi swala la mapenz kalisahau nw tunapiga biashara tu na Mambo yanaenda Sawa..
Ila ni Raha Sana kuwa na marafik wa kiume Kwa wadada maana unakua unajua Mambo mengi na wanakutreat kama dada Yao na wako so open.

Amen to this atleast nimepata alieekewa concept yangu asante kwa kuchangia ntafanya hivi
 
Utofauti wake huanzia from like to love. Huwezi Ku love bila Ku like. Ila unaweza kulike na uka love baadaye like iki develop ndo huwa love.
Sasa je unauhakika you liking him haita develop?
Be aware he will manipulate your liking au wewe utaiongeza.
Hata hivyo wewe unaweza ukawa ni exceptional kama wengi wengine.
Niliamua nisijibu hiyo reply. She is trying too hard to prove herself wrong, kiukweli hata yeye anamkubali lakini kashapata redflags kutokana na jamaa kuwa open kwake kuhusu tabia zake. You know gals, wanadhani kuna prince charming wa cinderella tales which is highly wrong. Chalii anaweza kuwa true kabisa thou simjui in person, Most players hata nao hupenda pia especially wale friends wao wanaoendana nao interests ila sio lazma amkubali. If she wants to keep it proffessional anaweza tena effortlessly lakini kudhani anaweza kupata friend mwanaume ambaye wataendana halafu mtu asidevelop anything is WRONG
 
Sijui kwa nini huyo jamaa kawa na papara kiasi hicho, alitakiwa kucheza very slow, akuaminishe kuwa he's cool na hana kabisa issues na wadada, akupe business ideas na akuweke close, huku ukidhani kuwa he's the best man out there...

Kwa status yako hakika unge-fall bila hata mtongozo, ila binafsi naamini katika pure friendship between Me n Ke, inawezekana sana tu na ni kitu chema sana. Only that boundaries must be drawn earlier.
I have seen so many times watu wanakuwa na marafiki wa kike thou waliwatongoza kwa point moja in life lakini baadae waliwaheshimu sana. Unaweza kuwa na rafiki wa opposite sex kama mna common ground kama biashara. Kwanza urafiki wa hivi huwa mzuri tu maana huwa hakuna vinyongo vya kimaendeleo, kwanza gals huwa hawana mambo mengi so huwa focused sana na kama mna patnership mambo huenda faster kutokana na zile favor ambazo wao hupewa katika fursa mbalimbali. Urafiki wa hivi upo ila inabidi mwanaume ujitoe katika position na mawazo local kuwa sex ndio connection na opposite sex.
 
Back
Top Bottom