Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,045
kabisaaa,Hii yote ni hasira ya kunyimwa tu
kabisaaa,Hii yote ni hasira ya kunyimwa tu
comrade nitaleta mrejeshoNdio venye, ila kwa style hio atakupa soon tu ili kujinusuru na buyu ulilompiga, anakutaftia pozu.
😂😂anatukwamishaTumeshajadili sana hiyo ishu yako humu
This might be the end of this thread! Positive reaction brooUnaweza kumuelewesha tu halafu akarejea kwenye mstari "----
Mtu kukupenda au kukutaka Kimahusiano " hizo ni hisia zake tu -- haimaanishi kwamba mnapaswa kusafiri pamoja kihisia na kumkubalia kuwa wote inluv .. .
Waweza kumuueleza lengo la urafiki wako nayeye kama ni understanding person atakuelewa tu ....na kuamua kushirikiana nawewe katika future plan zako "....
Mwanamke kutongozwa katika mazingira ya utafutaji hiyo ni kawaida ...that's why kina maria carey .Celine Dion hawa wote waliwahi kuwa kwenye mahusiano na managers wao -- lakini still kazi zao zilipata mafanikio makubwa".. haimaanishi kwamba ukiwa kwenye mahusiano na mshirika mwenzako kibiashara ni lazima itachangia kuwaangusha kimalengo''....
Ijapo kuwa kuna nyakati mahusiano kama hayo huwa yana pelekea kuharibu malengo ..yakupasa ufahamu kwamba maisha tunayo ishi yana beba ajali nyingi"..... so kama umemuelewa na unaona ni right person kuwa nae inlove
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ni ukweli mchungu.Bila shaka una kaka zako na ndugu zako wa kiume hebu kuwa rafiki na hao. Mwanaume wa uzao mwingine hamuwezi ishia hapo kwenye urafiki.
Me kama dushe ukitaka lipo tu.. Si nimepewa bure mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ukitoa inatosha mkuu si lazima wote tutoe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anatukwamisha
Umensaidia na naungana na ww, siku nyingi na reserv ma comment kwa kujiona may b sipo sawa. Mm nmekua na rafiki Wa kike ambae alinfata kuniomba ksoma nami tkiwa chuo na kukubaliana. Tulipiga ile miaka ya pale na mpaka sasa 11ys, nimeoa kaolewa tumekua family friend mpaka wazaz wetu. Kikubwa ni kujielewa na kuchunga mipaka ya uhusiano wenu. Wengi waloona hawakuamini hatanikiwaambia iz just friend. So inawezkana sn Ila uwege mpembuz na km ww upo makini bas upate mtu makini pia akuna shida yyte.Honestly inawezekana...inategemea na mwanamke mwenyewe alivyo jipanga. Mwanamume kaumbwa na tamaa na kutongoza ni asili yake,anaweza kumtongoza yeyote mwenye K.!! Na hiyo haimaanishi anampenda. Kuna shida kidogo kwa mwanamke lakini inawezekana. Nimesoma shule yenye ratio ya 30:6 utawapa wote?
Umensaidia na naungana na ww, siku nyingi na reserv ma comment kwa kujiona may b sipo sawa. Mm nmekua na rafiki Wa kike ambae alinfata kuniomba ksoma nami tkiwa chuo na kukubaliana. Tulipiga ile miaka ya pale na mpaka sasa 11ys, nimeoa kaolewa tumekua family friend mpaka wazaz wetu. Kikubwa ni kujielewa na kuchunga mipaka ya uhusiano wenu. Wengi waloona hawakuamini hatanikiwaambia iz just friend. So inawezkana sn Ila uwege mpembuz na km ww upo makini bas upate mtu makini pia akuna shida yyte.
Dadeq!!hata hao huwa wanaomba mechi mkuu.Rafiki wa kiume ni baba yako, kaka na Wajomba, hawa wengine lazima waombe kutafuna.
Mmmh sina jinsia mkuu.Mkuu sorry. Kwa jinsia gani vile.. Me au Ke
Me niliwahi kuwa na rafiki wa kike na tuliiva sn.Kusaidiana ktk shida na raha ndo Ilikuwa kila kitu.Utata ni pale nilipokuwa nataka nipate papuchi toka Kwa demu wangu.Nikimwambia ratiba yangu Leo nipo tu home na mtoto napata tamu kidogo (maana alikuwa anamjua),yeye kama hapendi.Siku moja ilibidi aniambie "bhanaa na me uwe unanipa tu hata kama ni marafiki"Nilishangaa sn.
Ulikuwa ni mtihani sn kwangu.Me nilikuwa namchukulia rafiki tena ndugu kabisa.Na hakuacha kuja geto kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni wachache wenye ukauzu huu
Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...
Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)
Hapa umeongea kwa kutazama upande mmoja tu, je, ingekuwa na wewe umetamani mshedede ukakubali, huoni saa hii ungekuja na kichwa cha habari kingine?
Acheni kufanya generalization pasipofaa. Hapa mtakuja na hoja wanaume ndivyo walivyo, hukumbuki wala kujiongeza kuwa wapo mamilioni ya watu wamekuwa wapenzi kwa staili hizi, wao wanaona makutano ya namna hii ni baraka.
Kumbuka sipingi hizo hisia zako kwake, bali nakosoa mtazamo wako dhidi ya wanaume na tukio lako. Kumbuka kwa asili Afrika wanawale hawatongozi, wao mara nyingi hutongozwa.Je, ni rahisi wewe au mwanaume kupanga akutongoze wakati gani au wapi? Cha msingi ni maelewano tu, kama hutaki, itoke moyoni na jamaa akuelewe tu,kwisha.
how old are you?Tumekutana mahali tukajadili mawili matatu tukabadilishana namba kiukweli interest zetu zikaendana na tukaendelea kuwasiliana/kusaidiana kimawazo kwa mda kidogo lakini urafiki umeisha gafla baada ya yeye kuingiza mambo ya mapenzi ambayo hayakua kwenye list ya urafiki wetu mbaya zaidi alinambia mwenyewe madhaifu aliyonayo kwa warembo...
Wakuu inamaana siwezi pata rafiki kama rafiki tu wakubadilishana nae mawazo na si kushiriki nae tendo(mahusiano)