ngumi ya shavu

ngumi ya shavu

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
10514589_462241233912728_8043269625679836818_n.jpg
 
Hayo ni maombi ya kutoa pepo kaa mbali bora kujiombea mwenyewe, ukitoka hapo anakwambia pepo limekupiga, limekuumiza usiruhusu tena likuingie looh
 
wanawake wa kenya wakifundishwa self defence dhidi ya wabakaji.
 
Hayo ni maombi ya kutoa pepo kaa mbali bora kujiombea mwenyewe, ukitoka hapo anakwambia pepo limekupiga, limekuumiza usiruhusu tena likuingie looh
nilisoma mahali kwamba ni kanisani nikadhani was a joke.
 
Bibi umri umekimbia ila yupo gado sijui alikua anakula nini ujana wake sio sisi wa siku hizi vichipsi na visoda mara kushinda na njaa ati balance diet lol
 
Bibi umri umekimbia ila yupo gado sijui alikua anakula nini ujana wake sio sisi wa siku hizi vichipsi na visoda mara kushinda na njaa ati balance diet lol
Babu alikuwa anampeleka puta ilembaya so yupo fit kutokana na experience aliyoipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom