... Ni kweli kbs ndugu. Kuna aina fulani ya mbayuwayu, hutengeneza viota vyao kwa kutumia zana mbalimbali, majani fulani, manyoya yao, kuvu na huvigandisha kwa kutumia gundi ya mate yao. Viota hivi ni adimu sana. Hukusanywa wakati wa majira ya baridi (winter). Huchemshwa na kuongezwa viungo kadha wa kadha kama vile ginseng(sijui kiswahili chake) pembe changa za paa, na nyongo ya kiumbe fulani anaitwa salamander (aina fulani hivi ya mjusi kama kambale anaishi majini) na vitu vingine hata sivijui. Supu yake wenyewe hudai ni tiba ya magonjwa kadhaa km kansa, baridi yabidi, nguvu za huko pentagon nk.Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu SUPU YA KIOTA CHA MBAYUWAYU.
.. Ndugu wachina wanakula vitu vya ajabu sana.