Ngozi ya chatu ni zaidi ya uijuavyo

Naomba nisitoe majibu ya kubuni nipe muda
Mshana na hili la nyoka kumwogopa mama mjamzito limekaaje? Maana hii habari si ngeni kule kwetu na wazee wsnasemsa kabisa kukiwa n nyoka ndani kama kunamjamzito mpeni kazi ya kuua huyo nyoka.
 
+Mamba
 
[emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha na mimi nitafute kipande cha ngozi ya chatu nifunike kwenye Simu kama cover
Maana tumechoka na hili neno “Nikuambie kitu” [emoji857][emoji857][emoji857]
Just kidding jamani
 
Basi ndio nasikia leo,maana unaweza ukapita kwenye chaka yaaan unakuta lile chaka linanukia wali mpaka unashangaa aisee.

Ila tulikuwa tuna aminishwa kwamba ni mashetani yanafanya shughuli《KUTOSA》
Ukiwaeleza habari hii ya wali kunukia porini watu hawaelewi kabisa
 
Kuna ile endapo unamuona nyoka basi usimtaje jina lake,kufanya hivyo unaweza ukatoka Temeke na kufuata fimbo Chalinze na ukamkuta palepale.

NB;Ila kwenye statement hii kuna kitu nilikiona c cha kweli baada kufanya chunguz zanfu
Sijui kwakweli ila tuliokulia vijijini tulifundishwa hiyo technique ya kubana kiwiko ili nyoka asikimbie... Tatizo mababu zetu hizi elimu walizifanya siri wakafa bila kutufundisha
 
Hata mimi nisingeamini lakini pengine kulikuwa na tafsiri nyingine yenye kuleta uhalisia zaidi
Kuna ile endapo unamuona nyoka basi usimtaje jina lake,kufanya hivyo unaweza ukatoka Temeke na kufuata fimbo Chalinze na ukamkuta palepale.

NB;Ila kwenye statement hii kuna kitu nilikiona c cha kweli baada kufanya chunguz zanfu
 
Kiuhalisia ni kwamba chatu ana harufu hutoa ambayo ni mbwa tu huwa na uwezo wa kuinusa. Harufu hii huwa nzuri na yakuvutia sana kwa mnyama mbwa na huiweza kuisikia hata akiwa mbali sana.

Ndio maana ktk elimu ya viumbe haishauriwi kabisa kuwa na mbwa upitapo misituni maana mbali ya chatu mbwa huvutwa na harufu za wanyama wengine hatari.
 
Ooh.. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Si kwamba huishiwa nguvu mkuu, katafute watu walaio somea mambo ya wanayama watakuambia nini sababu.

Mbwa huwa anajipeleka kushangaa ile rangi ya Chatu na si vinginevyo, huenda kunusa nusa.

Pia mbwa mwitu wao walisha kuwa trained kule msituni na wanajua Chatu ni adui so haendi kushangaa rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho mpeleka ni zile Rangi na huenda kuzinusanusa na hapo ndo anapo wahiwa na chatu. Pia si kwa chatu tu hata nyoka wadogo wenye rangi pia mbwa huenda kuwashangaa
Kwakweli bado natafiti hili... Mbwa hata awe hodari vipi akishaliona lile dubwana huchanganyikiwa kabisa na kukosa ujasiri huku akijipeleka kuliwa bila utashi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya wezi imethibitishwa wapi? Au kwa story za Mshana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…