Naomba ushauri wa shida hii ya ngozi

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
897
697
Kuna MTU ana shida ya ngozi anatokewa na kipele kidogo kwenye ngozi baada ya Muda kidogo kinabadilika kinakuwa kikubwa kiasi chenye majimaji NDANI yake, akikitumbua kinapona baada ya Muda mfupi.

BAADAE kinaibuka sehemu nyingine. Kila akitimbua. Kesho yake kinaibuka sehemu nyingine.

MSAADA WENU WA muhimu Sana.ASANTE
 
Back
Top Bottom