NGO's zinapataje fund?

Mar 26, 2018
76
125
Habari wana JF,

Natamani sana nifungue NGO's ya ambayo itajihusisha na kuwaangalia na kuwatetea watoto wenye ulemavu na waishio katika mazingira magumu kwa kuwapa misaada midogo midogo na kuhakikisha wanapata haki za msingi kama elimu, afya nk. Nimeshafuatilia jinsi ya kusajili na ada za kusajilia.

Swali langu; je nikishaifungua ntawezaje pia kupata msaada wa funds kutoka mashirika mbalimbali na serikalini ili iniwezeshe kukamilisha malengo nilojiwekea katika kuwasaidia hawa watoto angalau na je kwa Tanzania ni rahisi kupata hizo funds.

Mwenye ufahamu wa haya mambo atoe ufafanuzi
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
7,048
2,000
NGOs zilikuwa zinalipa zamani au enzi hizo. Kwa sasa hakuna kitu make Walio kuwa wanafadhili wengi walisha shituliwa kwamba usanii ni mwing kuliko ukweli.

Kwansasa NGOs zinazo pata fund ni zile za Kimataifa na hizi zilo well trusted na Wazungu kwa sababu zina root ya huko.

NGOs kama CARE, Plan International, World Vision, Oxfarm na kadhalika.

Hizi za kibongobongo ni chache sana zinazo pata fund
 
ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
1,855
2,000
Ndugu yangu kwanza kabisa hongera kwa kuwa na nia nzuri.Funding ya NGO ni jambo rahisi na gumu.Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa unapoanzisha NGO sources zako fund unataka ziwe nini.Sio lazima iwe ni wazungu.Unaweza kutumia vyanzo vya ndani vya mapato kama vile makampuni makubwa kama sehemu yao ya CSR.Unachofanya ni kuwapa mileage ya P katika shughuli hizo.Ukishaweza kujiweka sawa katika local funding basi unaweza kwenda kwenye balozi mbalimbali nao watakuunganisha na taratibu za kupa grants.Unaweza pia kujaribu serikalini kwani grants nyingine zinapitia serikali na katika NGOs nyingine.

Jambo la muhimu unapotaka kuanzisha NGO ni kufahamu kama kuna taasisi nyingine zinazofanya unalofanya ila mbadilishane uzoefu.Pili ni kuwa na fundraising strategy ambayo itakuwezesha wewe kukusanya michango ya wafadhili mbalimbali wa ndani na nje.Cha muhimu usianzishe NGO kama wewe mwenyewe ni beneficiary wa NGO yaani unataka kupiga hela.Fanya hivo kama tayari una mchongo wa wafadhili kama hauna wafadhili basi endelea kuchoma maindi inalipa kuliko NGO
 
Ushauri wa Google huu wa How to Oparate NGOs au on How finance NGOs.

NGOs zinazo trade nyingi ni zile zenye source kutoka nje au kwa watu wakubwa.

Unakuta mtu ana Jamaa yake huko nje anakuwa ana mpatia Link za fund.

Hizo fundrise unazo sema ni ngumu mno si kwa mazigira au bongo hii.

Hakuna sehemu ambayo wazungu wanapaogopa kama NGOs na walisha pewa brefing za kutosha.

Na ukisema wabongo wenyewe wa kufinance labda iwe harusi.

Ukitaka kufanya NGOs kuwa na fund zako na ndo maana hizo vitu huanzishwa na watu wenye pesa zao na wana tun kwa pesa zao.

Sasa mtu ukianzisha then utegemee hapo hapo ndo utokee kimaisha inakuwa ngumu sana.

Na huwezi anza tu kwa kuanza kutafuta Fund. Lazima uwekeze pesa zako wewe mwenyewe. Lazima ujenge jina lako,

Mtu akitaka kufinance lazima ajue usha fanya kazi ngapi na kwa pesa ipi?

Sasa akisikia ulikuwa unatumia pesa yako mwenyewe inakuwa rahisi kidogo.

All in all Local NGOs zina matatizo sana kwenye Fund ukilinganisha na hizi Intetnational ambazo nisha elezea sababu.
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
7,048
2,000
Pia kwa wale wanao kiwa wanafanya kazi kwenye NGOs kubwa huwa wakianzisha zao kidogo wanapata fund make wana chanel kutoka waliko kuwa.
 
Mar 26, 2018
76
125
NGOs zilikuwa zinalipa zamani au enzi hizo. Kwa sasa hakuna kitu make Walio kuwa wanafadhili wengi walisha shituliwa kwamba usanii ni mwing kuliko ukweli.

Kwansasa NGOs zinazo pata fund ni zile za Kimataifa na hizi zilo well trusted na Wazungu kwa sababu zina root ya huko.

NGOs kama CARE, Plan International, World Vision, Oxfarm na kadhalika.

Hizi za kibongobongo ni chache sana zinazo pata fund
asant kwa mawazo yako mkuu
 
Mar 26, 2018
76
125
Ndugu yangu kwanza kabisa hongera kwa kuwa na nia nzuri.Funding ya NGO ni jambo rahisi na gumu.Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa unapoanzisha NGO sources zako fund unataka ziwe nini.Sio lazima iwe ni wazungu.Unaweza kutumia vyanzo vya ndani vya mapato kama vile makampuni makubwa kama sehemu yao ya CSR.Unachofanya ni kuwapa mileage ya P katika shughuli hizo.Ukishaweza kujiweka sawa katika local funding basi unaweza kwenda kwenye balozi mbalimbali nao watakuunganisha na taratibu za kupa grants.Unaweza pia kujaribu serikalini kwani grants nyingine zinapitia serikali na katika NGOs nyingine.

Jambo la muhimu unapotaka kuanzisha NGO ni kufahamu kama kuna taasisi nyingine zinazofanya unalofanya ila mbadilishane uzoefu.Pili ni kuwa na fundraising strategy ambayo itakuwezesha wewe kukusanya michango ya wafadhili mbalimbali wa ndani na nje.Cha muhimu usianzishe NGO kama wewe mwenyewe ni beneficiary wa NGO yaani unataka kupiga hela.Fanya hivo kama tayari una mchongo wa wafadhili kama hauna wafadhili basi endelea kuchoma maindi inalipa kuliko NGO
Thank u kaka nazid kupata mwanga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom