Ngorongoro Crater vs Smart Phone

Chizoba_CzB

Member
Dec 13, 2019
86
98
Salama ndugu zangu hope mko salama nipo poa tu shukuru Mungu kwa Uhai na huku tukimwomba atoondolee hili janga la Corona maana tupo katika kipindi kigumu sana hasa ukiangalia na mzunguko wetu wa kazi zetu zilivyo.

Kama kawaidaaa niliplan kuingia Ngorongoro mwaka huu kwenda kusafisha macho kidogo na kujifunza mambo mengine nimefanikiwa kuingia Ngorongoro na kiukweli Adventure yangu ilikuwa poa sana na nmeenjoy sana ni sehemu poaa sana kama unapanga kuiyembelea basi najua hutajutia .

So napenda kushare picha chache nilizopiga nikiwa Ngorongoro Crater kama sehemu ya kupeana ujuzi,kushare picha zako,na kubadilishana mawazo.

Picha zote nimepiga kwa simu na kuedit kwa simu

"Chizoba" *As Long As You Live Anything Can Happen*
IMG_20200317_153041.jpeg
IMG_20200317_153047.jpeg
IMG_20200317_125931_273.jpeg
IMG_20200317_153117.jpeg
20200314_155103(0).jpeg
IMG_20200317_153038.jpeg
IMG_20200317_153122.jpeg
IMG_20200317_153129.jpeg
20200314_121433.jpeg
20200314_084612.jpeg
IMG_20200317_125931_264.jpeg
IMG_20200317_125931_276.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom