Ndio maana wamasai wamehamia mjini kuuza dawa za nguvu za kiume.Sasa huto tu wali utashiba kweli?
Kila hatua ya makuzi ina ladha yake, naamini hata aliyefaulu 4m 4 mwaka huu lazima kitaa kiwake ! Ila akija kupata phd wanaweza kujua ndugu wa karibu tu. Usimtuhumu jamaa kwa kushare hatua aliyoitimiza. Mie mwenyewe natamani kwenda Bagamoyo nikaone kisima kisichokauka huu mwaka wa saba ratiba na hali vimegoma kwenda sawa na nipo Dar tu hapa, sembuse kote huko ngorongoro. Hongera mleta uzi, umetimiza malengo yako kwa sasa.kawekeze uje kujenga taifa baadae kwa kutoa ajira kwa wengine. Hayo mambo yakujifanya unaenda Ngorongoro na kuishia kupost wali nyama na mavitunguu mabichi ni utoto tu ukikua utaacha. Kuna level za maisha hata ukipanda first class kwenye Airbus haupigi picha (high level of maturity) wewe umetumia hela zako za ngama kula hapo Ngorongoro unaona ufahari. Sio kwamba sipendi ufanye utalii ila naona kama bado hujatusua kwa style yako ya maisha ya kula wali nyama na kutupostia huku. Inaonyesha bado mgeni wa maisha nadhani siku ukila yale mavyakula ya business class ya Emirates utapiga picha mpk storage ya simu itajaa
tafuta hela hicho kisima cha bagamoyo utaenda mpaka kuogeshwa na mtoto mzuri ila ukikiangalia wakati mfukoni huna hata mia unaweza hata kutumbukia kwa kizunguzunguKila hatua ya makuzi ina ladha yake, naamini hata aliyefaulu 4m 4 mwaka huu lazima kitaa kiwake ! Ila akija kupata phd wanaweza kujua ndugu wa karibu tu. Usimtuhumu jamaa kwa kushare hatua aliyoitimiza. Mie mwenyewe natamani kwenda Bagamoyo nikaone kisima kisichokauka huu mwaka wa saba ratiba na hali vimegoma kwenda sawa na nipo Dar tu hapa, sembuse kote huko ngorongoro. Hongera mleta uzi, umetimiza malengo yako kwa sasa.
Chief, unapoongelea investment, do you happen to know how invested I am? Then again, unapoongelea kitu kama fly emirates unafikiri ni wote hatujawahi kusafiri nje ya nchi? Bra, unakumbuka enzi za Lufthansa? Anyways, sihitaji kuongea sana. Hongera kwa comment yako mkuu, thumb upkawekeze uje kujenga taifa baadae kwa kutoa ajira kwa wengine. Hayo mambo yakujifanya unaenda Ngorongoro na kuishia kupost wali nyama na mavitunguu mabichi ni utoto tu ukikua utaacha. Kuna level za maisha hata ukipanda first class kwenye Airbus haupigi picha (high level of maturity) wewe umetumia hela zako za ngama kula hapo Ngorongoro unaona ufahari. Sio kwamba sipendi ufanye utalii ila naona kama bado hujatusua kwa style yako ya maisha ya kula wali nyama na kutupostia huku. Inaonyesha bado mgeni wa maisha nadhani siku ukila yale mavyakula ya business class ya Emirates utapiga picha mpk storage ya simu itajaa
Mtoto mzuri ninaye tayari mkuu, najipanga kwenda naye na wajukuu zetu wazuri. Mi mhenga bna[emoji12]tafuta hela hicho kisima cha bagamoyo utaenda mpaka kuogeshwa na mtoto mzuri ila ukikiangalia wakati mfukoni huna hata mia unaweza hata kutumbukia kwa kizunguzungu
Wenye hela hawapost wali nyama na chapati wenye hela wametulia action zinaongea. Wewe hata kama uwa unasafiri kuja huku ughaibuni utakuwa unatumia Ethiopia airline. Nyie ndio mnatoka bongo leo alhamisi unafika USA jumatatu. Addis Ababa unakalishwa siku tatuChief, unapoongelea investment, do you happen to know how invested I am? Then again, unapoongelea kitu kama fly emirates unafikiri ni wote hatujawahi kusafiri nje ya nchi? Bra, unakumbuka enzi za Lufthansa? Anyways, sihitaji kuongea sana. Hongera kwa comment yako mkuu, thumb up
duh kumbe mhenga (legendary) mwenzangu ha ha ha samahani sana nilifikiri nachat na hivi vitoto vya dot comMtoto mzuri ninaye tayari mkuu, najipanga kwenda naye na wajukuu zetu wazuri. Mi mhenga bna[emoji12]
Vitoto havifikirii kwenda kujionea mabaki ya historia mkuu, wao hutamani likizo ifike visherehekee After school bush na alike !duh kumbe mhenga (legendary) mwenzangu ha ha ha samahani sana nilifikiri nachat na hivi vitoto vya dot com
Poa, thumbs upWenye hela hawapost wali nyama na chapati wenye hela wametulia action zinaongea. Wewe hata kama uwa unasafiri kuja huku ughaibuni utakuwa unatumia Ethiopia airline. Nyie ndio mnatoka bongo leo alhamisi unafika USA jumatatu. Addis Ababa unakalishwa siku tatu
Acha wivu mwishowe utakuwa mchawi!kawekeze uje kujenga taifa baadae kwa kutoa ajira kwa wengine. Hayo mambo yakujifanya unaenda Ngorongoro na kuishia kupost wali nyama na mavitunguu mabichi ni utoto tu ukikua utaacha. Kuna level za maisha hata ukipanda first class kwenye Airbus haupigi picha (high level of maturity) wewe umetumia hela zako za ngama kula hapo Ngorongoro unaona ufahari. Sio kwamba sipendi ufanye utalii ila naona kama bado hujatusua kwa style yako ya maisha ya kula wali nyama na kutupostia huku. Inaonyesha bado mgeni wa maisha nadhani siku ukila yale mavyakula ya business class ya Emirates utapiga picha mpk storage ya simu itajaa
Kwenye kitengo chako donlucchese
Sasa huto tu wali utashiba kweli?
hivi vi sahani labda vile 6 - siwezi shiba.
![]()
utakuta jamaa kalipishwa elfu 60 kwa sahani halafu anajifanya kashiba kumbe kaibia. Hiyo elfu 60 mtaani unapata gunia la mpunga unakula miezi sita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kwa hiko Chakula na hiyo Soda ya Coca Cola nisikie unaishia tu kupiga bao ' moko ' kwa Mkeo / Demu wako.
Lufthansa aijulie wapi. Ni wa kizazi hiki cha stress huyu.Chief, unapoongelea investment, do you happen to know how invested I am? Then again, unapoongelea kitu kama fly emirates unafikiri ni wote hatujawahi kusafiri nje ya nchi? Bra, unakumbuka enzi za Lufthansa? Anyways, sihitaji kuongea sana. Hongera kwa comment yako mkuu, thumb up
Hapo huwezi pata view nzuri..nenda pale 'And Beyond'
[emoji3] [emoji3] [emoji3] you have made my dayutakuta jamaa kalipishwa elfu 60 kwa sahani halafu anajifanya kashiba kumbe kaibia. Hiyo elfu 60 mtaani unapata gunia la mpunga unakula miezi sita