Ngoromiko (Jini mrefu aonekanaye usiku)

Ngoromiko (Jini mrefu aonekanaye usiku)

Hehe huyo jamaa Ni maarufu Sana uchagani..
Ila Ni wa kubuni ..Kama ilivyo chununi/ghuwa..
Ngoromiko alibuniwa na baby zetu kuwatia vijana wazururaji usiku adabu.
There is no such A creature..
Nimezurura Sana usiku Mimi na Machalii zangu mixer kulala nje Hiyo kitu hatujawahi onana nayo..
Same applies to vibwengo ...Ni myths tuu ..
 
Anaitwa "NEMULO". Stina uhakika wa uwepo wake lakini Wamasai karibu wote, hasa walioishi porini porini wanaamini yupo, wrngine wamekutana naye usiku. Ni nusu mtu nusu chuma, mkubwa kuliko tembo, akipita anapiga kelele ya ya sauti kali sana (Engikoorr) usiku. Kuna watu, hasa wazee rika ya landiisi na kurudi nyuma, wanaeleza namna walivyokutana nayo maporini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom