maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,075
Mku umenikumbusha kipindi nasoma Lyamungo tulikuwaga Siku za week end tunaenda Narumu tunarudi usiku mkubwa na Yukawa tuna a visa juu ya huyu ngoromiko.Wakati nakua huko nyumbani (arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Mrefu sana
Huonekana mara nyingi usiku tuu
Huwasha taa mara Moja na kuzima taa hiyo inasemekana ipo kwenye paji lake la uso.
Mwili wake umegawanyika mara mbili upande ngumu kama chuma na nusu ni kama binadamu
Je umewahi kusikia kitu kuhusu kiumbe hiki tuambie



