Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,683
Napate hiyo ya whatsap au... story za vijiweniTelegram na WhatsApp ni kwa moto sana

Wa uvinza huyo😂We Stroke, hujaweka code kweli hapa..!!??
Umesisitiza mkuuNgono kwenye hela haijafika bado maana hela inatafutwa na pande zote (me & ke) ila kwenye ngono ni kama upande mmoja (me) ndo wanaitafuta zaidi
Mwanaume anatafuta hela sana na mwanamke anatafuta hela sana na anaipata kwa urahisi kutoka kwa mwanaume anaehitaji ngono.
izo sites mbona kama wazijuaNini Tena...
Ukisema ngono inatafutwa kuliko pesa sio kweli hata kidogo, coz mpaka hiyo ngono itafutwe lazima pesa ipo.....Habari wakuu,
Twende moja kwa moja kwa mada yetu hapo juu, sasa hivi ukipita mitandaoni ni habari tu za kungonoka. Watu wanapenda habari za ngono kuliko zingine, ukiona mijadala ya kawaida na ngono wachangiaji ni wengi.
Sasa hivi ni rahisi watu kutafuta mtu wa kufanya nae ngono maana ipo mitandao inayowaunganisha. Miziki ya sasa hivi inaimba ngono ngono tu, na watu ndio wanaitafuta hiyo.
Miziki inayopata soko ni ya ngono ngono, sasa watu wanapenda. Ukija kwenye madawa ya kuongeza hamu ya kufanya ngono zinauzwa kwa kasi.
Vijana ndio vinara wa kungonoka huko na mara Joy kesho Asha, wanabadilisha mabinti kila aina, ukija kwa wadada nao wanauza huko kwa kubadilisha wanaume.
Wamama watu wazima nao wanawaza ngono aisee! Wanatafuta vijana wanawawezesha pesa wanapata ngono. Njoo kwa wababa nao hawapo nyuma, nao wanatafuta vibinti wanavihonga iPhone wanapewa ngono kwa ulaini.
Haya sasa mashoga nao hawapo nyuma nao wanabamba sasa hivi huko kwa kutafuta ngono yao ya nyuma. Njoo kwa wasagaji nao wanatafuta mashine zao ili wasage na kukoboa.
Hizi ni ngono za siri, mara nyingi ni siri mpaka kinuke ndio zinajulikana. Moja wapo ni wale wa makanisani huko wanajificha nao wanatafuta ngono kisiri. Wanaenda mahotelini huko kikinuka wanajulikana walikuwa wanatafuta ngono.
Achana na hao, kuna hao ambao ni wazazi wamezaa na watoto wao ila wanawala wenyewe, jamani Dunia!
Njoo huko Misikitini napo walimu wanawala watoto wanaowafindisha madrasa kimyakimya.
Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa.
sawa nakufuatiliaNiliona huku JF jamani [emoji1787]
Uzi za Badoo na Telegram...
Vijana na utelezi , utelezi na waoHabari wakuu,