Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa

Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa

Hukujiuliza kwanini sikuweka hiyo mitandao humu...

Ni kwakuwa nitaipatia wateja...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wateja wenyewe ndo hao
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapa naanza kuamini...
 
Habari wakuu,

Twende moja kwa moja kwa mada yetu hapo juu, saivi ukipita mitandaoni ni habari tu za kungonoka..

Watu wanapenda habari za ngono kuliko zingine ukiona mijadala ya kawaida na ngono wachangiaji ni wengi...

Saivi ni rahisi watu kutafuta mtu wa kufanya nae ngono maana ipo mitandao inayowaunganisha...

Miziki ya saivi inaimba ngono ngono tu, na watu ndo wanaitafuta hiyo..

Miziki inayopata soko ni ya ngono ngono sasa watu wanapenda...

Ukija kwenye madawa ya kuongeza hamu ya kufanya Ngono zinauzwa kwa Kasi..

Vijana ndio vinara wa kungonoka huko na mara JOy kesho Asha...

Wanabadilisha mabinti kila aina, ukija kwa wadada nao wanauza huko kwa kubadilisha wanaume...

Wamama watu wazima nao wanawaza Ngono aisee! Wanatafuta vijana wanawawezesha pesa wanapata ngono..

Njoo kwa wababa nao hawapo nyuma nao wanatafuta vibinti wanavihonga Iphone wanapewa ngono kwa ulaini...

Haya sasa mashoga nao hawapo nyuma nao wanabamba saivi huko kwa kutafuta ngono yao ya nyuma..

Njoo kwa wasagaji nao wanatafuta mashine zao ili wasage na kukoboa...

Hizi ni ngono za siri mara nyingi ni siri mpaka kinuke ndio zinajulikana..

Moja wapo ni wale wa makanisani huko wanajificha nao wanatafuta ngono kisiri...

Wanaenda mahotelini huko kikinuka wanajulikana walikuwa wanatafuta ngono..

Achana na hao kuna hao ambao ni wazazi wamezaa na watoto wao ila wanawala wenyewe jamani Dunia.

Njoo huko Misikitini napo walimu wanawala watoto wanaowafindisha madrasa kimyakimya...

Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa...
Hata hoja zenyewe nizakipuuzi na kitoto kuonyesha ni jamii ya aina gani tunayo
 
Jamani umesahau Mhubiri kasemaje?
Mhubiri 1:9-10

...Usisahau pia Kwa Nini Dodoma na Gomora ilichomwa
 
Wadada Wanauza uchi mitandaon hatar san yaaan kuna watu ukiwaona huwazanii ila nao pia wanauza uchi
 
Vipi Mkuu kwa upande wako?
Kizazi tulichopo ni Kizazi cha Zinaa na dhambi! Maasi yameongezeka kilichobaki ni gadhabu ya Mungu kumwagika!
 
Jamani umesahau Mhubiri kasemaje?
Mhubiri 1:9-10

...Usisahau pia Kwa Nini Dodoma na Gomora ilichomwa
Kuhusu Mhubiri 1:9-10, ni kweli hakuna jipya chini ya jua, lakini watu ndo wanakuwa wapya..!! Mfano, hayo ya Sodoma na Gomola, yenyewe yapo tu, ila mtoto anayezaliwa leo hayajui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaongea ukiwa jijini wapi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado nipo mji wa wachaga milimani huku baridi kaliii ,,nimeona uzi nikaja speed nikajua napata wa kunipunguzia baridi [emoji3][emoji3]
 
Ongezea na mahospitalini mwetu wanawaza Ngono ngono tu..
Sahiz muhimbili wanaongeza makalio na kukuza Maumbile ya uume

Back
Top Bottom