Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa

Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa

Kwani ni mitandao ipi wakuu, maana hii niliyopo sijaona haya yakitendeka🤣
 
Aisee Mimi sijui ni mjapani siipendi wala hata kuisikia.

Napenda kunywa juice tu ya tikiti maji.
 
Wale wa kulishwa content njooni yule 'mushangazi' kaleta mada mkafungie thread na nyie
 
Kuhusu Mhubiri 1:9-10, ni kweli hakuna jipya chini ya jua, lakini watu ndo wanakuwa wapya..!! Mfano, hayo ya Sodoma na Gomola, yenyewe yapo tu, ila mtoto anayezaliwa leo hayajui
Ila akipata akili atayajua tu.
 
Kuna Kiongozi X nilimsikia akiwaambia akina Baba waache kuwabaika mabinti zao wawafuate wao wakubwa ....hii kitu ni tatizo Leo Dunia ni kama imekubali kuongozwa na matukio "reactive"
 
Kuna Kiongozi X nilimsikia akiwaambia akina Baba waache kuwabaia mabinti zao wawafuate wao wakubwa ....hii kitu ni tatizo Leo Dunia ni kama imekubali kuongozwa na matukio "reactive"
Na kuna mwingine aliwaambia vijana wa kiume waachane na PISI kali..!!
 
Hali ni tete hayo maeneo... Leo mwanamke anakomaa kumtuliza mumewe kupitia hiyo kitu, wanaume nao ni full vumbi la Kongo, bandi kuinua mjegeje....hujasikia yule aliyeimba mwanaume mashine,?
........aliyeturoga kafa...
Hajafa, bado mzima anazidi kuchochea dawa tu..!! Mara vipipi, mara sijui nini..!! Angekuwa amekufa, tungeishia ile staili aliyoicha wakati anakufa. Sasa kwa vile bado yupo, tumeendelea kusebenza
 
Hajafa, bado mzima anazidi kuchochea dawa tu..!! Mara vipipi, mara sijui nini..!! Angekuwa amekufa, tungeishia ile staili aliyoicha wakati anakufa. Sasa kwa vile bado yupo, tumeendelea kusebenza
Balaa Mkuu akili za vijana wetu 80% pornography
 
Habari wakuu,

Twende moja kwa moja kwa mada yetu hapo juu, sasa hivi ukipita mitandaoni ni habari tu za kungonoka. Watu wanapenda habari za ngono kuliko zingine, ukiona mijadala ya kawaida na ngono wachangiaji ni wengi.

Sasa hivi ni rahisi watu kutafuta mtu wa kufanya nae ngono maana ipo mitandao inayowaunganisha. Miziki ya sasa hivi inaimba ngono ngono tu, na watu ndio wanaitafuta hiyo.

Miziki inayopata soko ni ya ngono ngono, sasa watu wanapenda. Ukija kwenye madawa ya kuongeza hamu ya kufanya ngono zinauzwa kwa kasi.

Vijana ndio vinara wa kungonoka huko na mara Joy kesho Asha, wanabadilisha mabinti kila aina, ukija kwa wadada nao wanauza huko kwa kubadilisha wanaume.

Wamama watu wazima nao wanawaza ngono aisee! Wanatafuta vijana wanawawezesha pesa wanapata ngono. Njoo kwa wababa nao hawapo nyuma, nao wanatafuta vibinti wanavihonga iPhone wanapewa ngono kwa ulaini.

Haya sasa mashoga nao hawapo nyuma nao wanabamba sasa hivi huko kwa kutafuta ngono yao ya nyuma. Njoo kwa wasagaji nao wanatafuta mashine zao ili wasage na kukoboa.

Hizi ni ngono za siri, mara nyingi ni siri mpaka kinuke ndio zinajulikana. Moja wapo ni wale wa makanisani huko wanajificha nao wanatafuta ngono kisiri. Wanaenda mahotelini huko kikinuka wanajulikana walikuwa wanatafuta ngono.

Achana na hao, kuna hao ambao ni wazazi wamezaa na watoto wao ila wanawala wenyewe, jamani Dunia!

Njoo huko Misikitini napo walimu wanawala watoto wanaowafindisha madrasa kimyakimya.

Ngono sasa inatafutwa zaidi ya pesa.
Usiku wa manane DJ anataka uma na uma sio uma kumbe anata ku... Tito shika shika utawauwa😅,
 
mama mchungaji unanipa wasiwasi 😅
 
Back
Top Bottom