Ngome za vyama tawala Africa; Exporters of domestic workers

Carl Marx

Member
Oct 2, 2011
20
3
Nimebahatika kufanya utafiti kuhusu "Political Situation in Africa" na matokeo yaonyesha ngome ya vyama tawala ndizo zinazoongoza kwa kutengeneza housegirls and domestic workers pamoja na watu wafanyao kazi katika mazingira hatarishi na ujira mdogo. Je, TZ ni kweli? Je sehemu wanakotoka housegirls wengi, CCM ilipata ushindi wa kishindo? Unalinganishaje na sehemu zenye ushindani mkubwa wa kisiasa? Kama ndiyo, elimu kwa masikini ni muhimu sana la sivyo tabaka hili litaendelea.
 

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Utafiti wako ni batili kwasababu umejaa kashfa na kejeli. Unawezaje kuita ngome zinazoongoza kutengeneza ma-housegirl na watu wa ujira mdogo? Lakini sikushangai kwasababu unawakilisha maelfu ya wanachama wenzako wa Magwanda waliojaa dharau na kejeli. Na kwa kejeli hizo unahisi chama chako kitaongoza nchi siku moja?
 

Carl Marx

Member
Oct 2, 2011
20
3
Atwm52 usikasirike wala kujituhumu. tafiti hupingwa na utafiti. Toa data. Case study iwe Tanzania
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom