Betri yenye chaji
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 743
- 637
ccm haiwezi kushinda uchaguzi wowote wa haki na uwazi
Hicho ndicho kinachonishangaza sana. Watu mtasema kuwa CCM inawafanyia fitina, je hata la makatibu wenu kushindwa kujaza vyema fomu ni kosa la CCM? Ama mnataka kutuambia tena kuwa wamehongwa? Kwa hiyo nyie kumbe mnahongeka? Sasa kama mnahongeka, nini tofauti yenu na CCM?
Hahaaaaa funny comment.Na hapo ndipo mbaodhani mnajitambua mnapokosea. Wakati Lowassa hajaenda Upinzani, CCM ilitawala maeneo yote ikiwemo ngome ya CHADEMA lakini baada ya kuingia mwaka 2015, CHADEMA iliongoza karibia Halmashauri zote za Arusha na zaidi ya nusu za Upinzani. Je, Lowassa angeteuliwa CCM, Je nyie mnaojitambua mngepata hizo kura za Kaskazini?
Kama mbajitambua, hauoni shida kuwa, mkiingia madarakani, mtaua nchi maana Upinzani (CCM) utabaki na wasiojitambua?
Tuombee iwe hivyo, otherwise itabakia doa kubwa sana kwa legitimacy ya CHADEMA huyo kunakodaiwa Ngome yao come 2020.MAHAKAMA itawarudisha wote hao!
Wala sina wasi wasi
Hakuna ushindi bali ni nguvu imetumika kuzuia urudishaji wa fomu
Kawaulize polisi na uhamiaji wanayo majibu sahihiKila siku hamkosi sababu. kwahiyo, walifungwa minyororo miguuni ili wasiende kurudisha fomu.
DED msimamzi wa uchaguzi wameisha ambiw ana Rais anaye wateua kuwa wakitangaza matokeo CCM KASHINDWA basi hawana kazi,TUME ya uchaguzi wa TANZANIA is stinking!Hamna tume Tanzania bali ni kigenge la wahalifu wanaofanya kazi kwa kufuata amri ya Rais anaye wateua na ambaye ana nguvu ya kuwafukuza kazi muda wowote akitaka!Tuombee iwe hivyo, otherwise itabakia doa kubwa sana kwa legitimacy ya CHADEMA huyo kunakodaiwa Ngome yao come 2020.
Watasoma nambaHakuna upinzani Tanzania bali ni wapiga kelele tu na kusubiria Mwana-CCM kaongea nini wakosoe. Hawako na individual constructive ideas
Acheni kugombea basi, utaingiaje uwanjani wakati tayari mmeshajua refs ana matokeo yake mfukoni? Na hayo majimbo ambayo huwa mnashinda, hao wanaowanyima haki huwa wameenda wapi?ccm haiwezi kushinda uchaguzi wowote wa haki na uwazi
Bila shakaAmbaye kura zake zimeporomoka kutoka 96% hadi 55% ndani ya mwaka mmoja tu vipi yy atashinda 2020?