Natafuta Ng'ombe wa maziwa

Mkuu Majimoto

Labda hujakutana nao WAPO WAKULIMA WANAUZA NGOMBE WENYE MIMBA, Moja wao alikuwa jamaa wa ASSAS-Iringa alitoa matangazo mpaka kwenye magazeti. Pia hata watu binafsi wanazo kunajamaa ntawasiliana nae ili anipe contact then ntaziweka hapa

Ebwana ee, mambo si hayo!
Naomba nawe unipatie namba yako ya simu mkuu ili niwe nakusumbua kunitafutia contacts (if you don't mind).

Asante
Wabheja sana!
Thank you very much!
Merci!
Ulakoze chane!
 
Cha G,
Kuna CEO wa kampun moja hapo dsm ana shamba la kufa kiumbe pale siha-k'njaro na ni mfugaji mkubwa wa Ng'ombe. Ana ngombe zaidi ya 2000 pale siha katka mashamba tofaut mawili. Ng'ombe 1 anatoa lita 30 mpaka 52. Anasema ukitaka maziwa meng lisha ng'ombe wako pumba,wape maji ya kutosha, na pia ili maziwa yawe bora lishe lazima izingatie ratio. jamaa amefungua kiwanda cha kupack, fresh na yogurt juz tu! Nipm nikupe email yake akupe njia/ushaur.
 
KipakaM nashukuru sana kwa msaada wako.
This has been my dream for quite a long tym.
I am from pastoralist societies and so I have some local ideas about cattle keeping but I want to be using professionals in veternary medicine.

Kuna jamaa aliniambia kuna ekari 50 zinauzwa Rufiji kwa sh. milioni 6 tu kwa ekari zote 6.
Nitajaribu kufuatilia taratibu zote ikiwa ni pamoja na kujiridhisha kuwa eneo hilo naweza kulinunua baada ya kupita Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji.

Nikipata nawaweka wanyama wangu kule (ng'ombe, kondoo, mbuzi, chairfire, kuku n.k)
 
Ebwana ee, mambo si hayo!
Naomba nawe unipatie namba yako ya simu mkuu ili niwe nakusumbua kunitafutia contacts (if you don't mind).

Asante
Wabheja sana!
Thank you very much!
Merci!
Ulakoze chane!

Extravagant oh sorry! Prodigal son, nakusubiri mkuu unipatie contacts za hao jamaa wanaoweza kuniuzia ng'ombe bora!
Naomba pia contacts zako (if you don't mind nitumie PM)
 
Jamani, naombeni msaada wenu.
Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kisasa, kama wale wanaopatikana Iringa (ASAS Dairy products).Nitawapata wapi huko Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha n.k.
Naomba contacts.
Nahitaji wanaotoa at least lita 20 kwa siku.
Nataka wenye mimba ya kuanzia miezi mitano hadi sita.

Nimetafuta sana bila mafanikio!

Wafugaji wengine wananiuzia ng'ombe waliochoka (ng'ombe anatoa lita 3-4 kwa siku?)
Na serikali nayo kimeo, nilishaweka oda ya ng'ombe (hybrid) huko Nanyumbu wanasema oda ya mtu inaeza kuchukua hata miaka miwili na pia unaweza kupata idadi chini ya ile uliyoomba. Nonsense!

Naomba msaada wenu.

Natanguliza shukrani.

Mara nyingi mkulima hawezi kukuuzia mnyama mwenye tija kwake,vinginevyo awe nao wengi. Ukitaka ng`ombe wa maziwa bila kujali gharama za usafiri nenda Kitulo Makete Njombe/Mby. Unaweza kufika Kitulo kwa kupitia Njombe au kwa kupitia Uyole Mby, niliuliza bei kwa ndama mwenye mimba nikaambiwa laki sita. Nime-misplace simu ya jamaa yangu pale Kitulo,ningekupa bei ya leo leo, nikiipata nitaweka jamvini kwa faida ya wengi. Hata akina ASAS,kuna wakati wanachukua maziwa toka Kitulo. Kitulo ni shamba la serikali kama lilivyo Ruvu na mengineyo.
 
Wakuu inapendeza sana kuona kwamba watu wana moyo wa ufugaji.
Big up sana.
Hata mimi nina hamu sana ya kufanya ufugaji. yaani kma nikipata hizo contacts za wenye kuuza ng'ombe ntajitahidi nipate angalau watano wa kuanzia kwanza.pls whoever has contacts, spray them here!!!!
 
Tulia kidogo mkuu, najaribu kutafuta simu ya farm manager wa Kitulo,kwa sababu namfahamu ni mtu mzuri anaweza kutupa majibu ya leo leo kwa watakao hitaji kujua logistics za kuwapata ndama waliopandishwa tokea shambani kwake.
 
Kaka, what is laki sita?
Mtu akiwa nao watatu hakosi 1,000,000 kwa mwezi ni mfanyakazi wa education level gani na experience gani serikalini anapata take home 1,000,000 kwa mwezi?
Ajira binafsi zinalipa, tatizo tunapenda sifa (full time neck tie - mfukon kweupe au kama kuna pesa ujue za madeni!)
Malila, tunakutegemea mkuu!
Okoa jahazi!
 
Piga 0755-159607, huyu yupo pale shambani Kitulo kama mwalimu,atakupa simu ya meneja au akakupa majibu yote ya maswali ya awali, meneja bado sijampata. akikuuliza nani kakupa simu, mwambie Malila.
 
Asante sana mwanangu! Mungu akubariki!
Wabheja sana ng'wana wane! Sebha aku....!
Ulakoze chane mwan'anje! Iman'iukuj'imbele!
Thank you very much my son! God bless you!
Merci mon .......? Dieu..... (Lol! Huku nimeshindwa!)
 
Nitafurahi sana utakapo-implement project yako.

Nashukuru sana.
Nimeongea naye jana saa 12 jioni, ng'ombe wapo (Freishian).
Wenye mimba ya miezi 3-4 laki 7 lkn mpaka uweke oda.
Wanakuza mitamba mfano wakipandisha 30, 20 wanaweka kwa ajili ya kuzalisha zaidi, 10 nd'o wanauza.
Katika uzao wa 1-3 wantoa lita 20-40 (avarage 30) kwa siku - lkn katk maeneo ya baridi 4-15 degree Celcius eg. Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha n.k
Kwa maeneo ya joto inabidi uwajengee banda chini ya mti kwa ajiri ya upepo na ubaridi ili ku-cool environment, japo pia production ya maziwa siyo sawa na maeneo ya baridi, ukiwachunga katika maeneo ya joto production inazidi kuwa ndogo.

Akanishauri maeneo ya joto nichukue chotara (hybrid) na akanipatia contacts za Manager wa Sao Hill; nilipowasiliana naye akasema ng'ombe kwa sasa wapo wachache sana,labda hadi mwakani. Nilipomwambia nikiweka order ya ng'ome 20 nitapata? Akastuka kushangaa kuwa si rahisi kabisa!!
Naona itabidi niwachukue tu hao wa Kitulo kuanzia September/October, October/November na November/December. Nitatumia wataalamu kunijengea mabanda na kunishauri nyasi za kupanda na utunzaji wake; baadaye nitaanza kuwapandisha ili kuzalisha chotara.

Hata kama nisipofanikiwa kununua mwaka huu, I wish I start this project not before June, 2012.

Lkn hii nchi yetu vipi?
KILIMO KWANZA NI SUSTAINABLE KWELI? Kama mtu mmoja tu akihitaji ng'ombe 20 toka shamba la Serikali, Serikali inakuwa haina uwezo tutafika kweli?
 
Ndio maana nasisitiza vijana tuunganishe nguvu tununue shamba la Kitulo ili tufanye kazi. Shamba la Mitamba kule Kilolo lilishakufa siku nyingi,bila kujali kuwa mahitaji ya mitamba yanaongezeka sana siku hizi.
 
Kuna thread nyingine imeanzishwa leo kuhusiana na Ng'ombe wa maziwa. Nadhani muanzishaji hakujishughulisha ku-search, maana hii thread imechambua kila kitu!
 
Hata mimi nimeiona man! Lakini hii thread ime cover kila kitu!
Kuna thread nyingine imeanzishwa leo kuhusiana na Ng'ombe wa maziwa. Nadhani muanzishaji hakujishughulisha ku-search, maana hii thread imechambua kila kitu!
<br />
<br />
 
Cha G,
Kuna CEO wa kampun moja hapo dsm ana shamba la kufa kiumbe pale siha-k'njaro na ni mfugaji mkubwa wa Ng'ombe. Ana ngombe zaidi ya 2000 pale siha katka mashamba tofaut mawili. Ng'ombe 1 anatoa lita 30 mpaka 52. Anasema ukitaka maziwa meng lisha ng'ombe wako pumba,wape maji ya kutosha, na pia ili maziwa yawe bora lishe lazima izingatie ratio. jamaa amefungua kiwanda cha kupack, fresh na yogurt juz tu! Nipm nikupe email yake akupe njia/ushaur.

RED:hapa ndio nilikuwa napawinda... mkuu..kuna uwezekanao wa kuwa na mtambo mdogo wa kuzalisha products za maziwa.. kuanzia maziwa yenywe cheese.. jibini.. etc? kwa wafugaji wadogo..?
 
Back
Top Bottom