Ng'ombe azaa kiumbe Kama binadamu!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Habari niliyoiona kwa macho yangu sikuamini baada ya kushuhudia ng'ombe akiwa amezaa kiumbe chenye maumbile ya binadamu huko kenya.

Chanzo the citizen tv
 
Mkuu ni sura kama ya binadamu lakini maumbile mengine ni kama ndama wengine halafu hiyo heading hiyo sijui uiedit kidogo maana inatisha ilivyokaa
 
Mi nilijua Binadamu kuanzia kichwani mpaka miguuni!!
 
Habari niliyo iona kwamacho yangu sikuamini baada ya kushuhudia ng'ombe akiwa amezaa kiumbe chenye maumbile ya binadamu huko kenya. Chanzo the citizen tv
 
Mkuu mbona una mbwembwe sana?title iko kishabiki sana!kiumbe kinachofanana na mtu chaweza kuwa nyani/sokwe,kama ni hivyo sema "ng'ombe kazaa nyani"
 
Inawezekana, si kuna jamaa wanapummua juu ya hao viumbe? Hii dunia inakwenda arijojo.
 
hahahaah binaadam akili zimetutoka mpaka twakaza wanyama na watoto wanatuzalia:lol::lol::lol:,msiba mzito.......
 
Habari niliyo iona kwamacho yangu sikuamini baada ya kushuhudia ng'ombe akiwa amezaa kiumbe chenye maumbile ya binadamu huko kenya. Chanzo the citizen tv
mara kwa macho yako,then unasema umeona kwa tv? tushike lipi,afu not ng'ombe as u said ni mbuzi! acha kukurupuka na kupotosha watu
 
Back
Top Bottom