Ngoma za mashetani

Unajua wewe ni ngumi mkononi sister

Yaani hapo unataka kulianzisha. Haya basi mimi nimemsamehe, usianze kuzikusanya hasira sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
bwana shemeji umeniwahi kuuliza hili swali

kwanza, samahani bwana kwa kutokupa taarifa ila nilichokuahidi ndicho nilichotekeleza

heshima yako bwana shemeji, habari za wikiend?
 
Huku ni kudanganyana na imani potofu. Nilipokuwa mdogo zilikuwa zinapigwa ngoma hizi na walikuwa wanatengeneza hicho chano na kupeleka porini kwenye njia ya panda ili hao mashetani waje wale.
Mimi na wenzangu tulikuwa tunasubiri waondoke na kula vyakula vyote vitamu vilivyowekwa na hatujadhurika.
Siku hizi kwa ukali wa maisha ngoma hizi zimepungua sana almost hazipo.
 
Dah mkuu! Mlikua mnajipigia ile mikate ya kumimina na tende na haluaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yaani kisha hamkudhurika wala nini, badala yake mlijiongezea afya tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuwa msomi hakukuzuii kuamini unachoamini
Halafu hivi usomi mnaumaanishaje nyinyi vichwani kwenu hasa?
Utaskia ooh yule kaka ulaya,kasoma ana madegree bla bla blaaaah
Kwahiyo matambiko ndo yanawapima akili na usomi wao? au kuishi ulaya ndio ustaarabu? mbona wao wana maparade yao na mavitu ya ajabu ajabu tu huko kwao mnakoona ndo pameendelea

wasomi hawarogi? hawatambiki?
Acheni hizo bwana kila mtu anaamini anachoamini na haimzuii kuitwa au kuwa mstaarabu
 
Tena hiyo ni israfu, huwez weka chakula hivo kuna watu chungu nzima slice ya mkate wanaitafta nimewahi baatika nazi kuzikuta, nyembe nywele, miwa, mtama, mikaa chungu sjabahatika mkate
Dah mkuu! Mlikua mnajipigia ile mikate ya kumimina na tende na haluaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yaani kisha hamkudhurika wala nini, badala yake mlijiongezea afya tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…