Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Basi hata Wamarekani na watu wa Ulaya watakua na vyakwao pia?Umeona ehh!
Hivi vitu ni duniani kote!
Hakuna palipotajwa kabila.Kwa hiyo hapo Wachaga wameingia kwa nafasi yao ya wafanyabiashara?
Ni kweli kabisa walahiBasi hata Wamarekani na watu wa Ulaya watakua na vyakwao pia?
Nasikiaga ngano na simulizi nyingi kua hata Wajerumani wanazo sana hizi mambo
Zamani tukiambia hata Wachina katika shughuli zao za ujenzi wa barabara na madaraja wanatumia "utamaduni". Sijui kuna ukweli gani hapo!
HahahahaKwa hiyo hapo Wachaga wameingia kwa nafasi yao ya wafanyabiashara?
Naunga mkono hojaNi kweli kabisa walahi
Wao wanazitumia sana kwenye maendeleo sio kuumizana wenyewe kwa wenyewe!
Kuna binadamu wenye upeo wa hali ya juu sana, na sisi sasa tu focus kwenye maendeleo kama wenzetu wahindi, wachina, wadhungu, waarabu n.k walahi
Upo sahihi mkuu.Ni kweli kabisa walahi
Wao wanazitumia sana kwenye maendeleo sio kuumizana wenyewe kwa wenyewe!
Kuna binadamu wenye upeo wa hali ya juu sana, na sisi sasa tu focus kwenye maendeleo kama wenzetu wahindi, wachina, wadhungu, waarabu n.k walahi
Hahaha kumbe wewe ni ndugu yangu?hahaha ningeona aibu, kichwa wazi kutoka nje siwez ije kua hivo mashangaz mababu wajomba haa hapana hahahahhaa
heb nambie lini unakua freeWaja lini kwetu
kwanini tena, yawezekana labdaHahaha kumbe wewe ni ndugu yangu?
Kuna kijiji kimoja kinaitwa Kigombe njia ya kuelekea pangani, kitongoji kinaitwa sinawe - kila mwaka.
Kuhusu ukiwa na shetani kichwani ukipita karibu au ukiwa maeneo ya karibu unajiunga kusheherekea, kama kichwa kigumu utamkuta hapandishi lkn anaziimba nyimbo zote zinazochezwa kwa kuitikia mwanzo mwisho na kutikisa kichwa kwa mbali.
Pongwe pia goi linafanyika kila mwaka.
Raha ya goi ujue ku..madam s
wale waanaumr kama mabinti mkuuMashoga unamaanisha mabinti ma-shost au wale waliothirika na ushoga?
Maana umetumia tungo tata
ukimaanisha niniMadame wewe umeokoka?
Wa kiimani sio wa damukwanini tena, yawezekana labda
anha ninekuelewaWa kiimani sio wa damu
Zamani inasemekana ilikua ngoma ya ndani lakini siku hizi ndio imejulikana kwanini ilikua inafichwa
Ni ngoma ya wa s.e.n.g.e na unashangaa kwamba haya mambo yalikuwepo miaka mingi nyuma! Ndio maana laana inaingia kwenye kizazi hiki aisee
Wapi huko madame?mwananyamala?
Unajua wewe ni ngumi mkononi sister
Unajua wewe ni ngumi mkononi sister
Yaani hapo unataka kulianzisha. Haya basi mimi nimemsamehe, usianze kuzikusanya hasira sasaπππ